Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TACCEO yaitaka NEC kutimiza wajibu wake

Mtandao wa Asasi za Kiraia za Uangalizi Chaguzi Tanzania (TACCEO) umetoa tamko jana Oktoba 6, 2015 kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhakikisha sheria na kanuni zinafuatwa na haki ya Wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi wa viongozi wao unalindwa na kuheshimiwa.

Kaimu Mwenyekiti wa TACCEO Wakili, Imelda Lulu Urio akitoa tamko kwa Wanahabari (hawako pichani)

Akisoma tamko hilo mbele ya wanahabari, Kaimu Mwenyekiti wa Mtandao huo unaoratibiwa na Kituo cha Sheria na Haki...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

RC ahimiza uadilifu kutimiza wajibu

VIONGOZI na watumishi wa umma mkoa wa Ruvuma wametakiwa kuwa waadilifu na waaminifu wakati wanapotekeleza majukumu yao kwa wananchi. Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu wakati akizindua baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Tunduru.

 

9 years ago

TheCitizen

NEC results lack transparency:TACCEO

According to Tanzanian Civil Society Consortium on Election Observation (TACCEO), there is lack of transparency in the ongoing tallying of votes, casting doubt on the accuracy of figures released by the National Electoral Commission (NEC).

 

11 years ago

GPL

KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -7

Janga kuu ambalo limeendelea kusumbua ni kuwa mtu akiwa nacho anaweza kukifuja utadhani hakitaondoka. Ni kosa kubwa kushindwa kumtunza mwenzi wako kwa kiburi tu kuwa kwako ameshafika na hataondoka. Usicheze na moyo wa mwenzio. Usifanye majaribio ya kujuta baadaye. Kufanya jambo lolote la maudhi kwa mwenzi wako kwa makusudi ni jaribio la wewe kujuta baadaye. Unayemuudhi ni binadamu, ana moyo kama ulionao wewe. Siku atakapofanya...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi Ruvuma watakiwa kutimiza wajibu na kisha kudai haki

Na Nathan Mtega wa demashonews,Songea SERIKALI ya mkoa wa Ruvuma imeendelea kuwasihi wafanyakazi wa sekta zote nchini wasijenge zaidi utamaduni wa kudai haki bila kutimiza wajibuwao kwanza kwa sababu kauli mbiu za vyama vingi vya wqafanyakazi kikiwemo chama cha walimu nchini ambacho kauli mbiu yake  ni wajibu na haki.  Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo,Mh. Abdula Lutavi  ----------------- Kauili hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Namtumbo Abdula Lutavi kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Ruvuma...

 

11 years ago

GPL

KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -8

Tunaendelea na mada yetu ambayo tulianza nayo wiki kadhaa zilizopita. Lengo ni kuwekana sawa katika suala zima la mapenzi ili asiwepo wa kuja kujuta baadaye kwa sababu alishindwa kutimiza wajibu wake kwa ampendaye. Tunaendelea na mifano ya jinsi kushindwa kutimiza wajibu kunavyoweza kuleta athari. Endelea... akuishia hapo, Hawa akaanzisha uhusiano wa pembeni na wanaume wengine. Matali alipoona mambo magumu, ikabidi aachie ngazi....

 

11 years ago

GPL

KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -6

Gaudensia: “Kwa hiyo umeacha makusudi ili kunithibitishia kuwa ulikuwa ukitembea na wanawake ovyoovyo?” Reina: “Siyo kutembea ovyoovyo, kwani wewe ulitegemea muda huo wote ningekuwa bila mwanamke? Acha utani kabisa, hata wewe kule Dodoma mimi nitajuaje kama siku zote hukuwa na wanaume? Tena nyie wanafunzi wa Udom kwa wabunge ndiyo zenu.” Baada ya kuzungumza hivyo, Gaudensia alianza kufanya usafi kwa...

 

11 years ago

GPL

KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -3

MSINGI wa makala haya ni kukutaka ubaki njia kuu. Usiupuuze uhusiano wako unaokupa faraja kwa tamaa za muda mfupi. Tupo sehemu ya tatu, na ni imani yangu kubwa kwamba mwisho wa somo hili, utajifunza kitu kikubwa sana. Ni ukweli ulio wazi kuwa huna sababu ya kujuta, badala yake unachotakiwa kufanya ni kutimiza wajibu wako leo. Siku zote ni lazima ukumbuke kuwa mapenzi uliyonayo au unayopata kutoka kwa mwenzi wako hivi sasa,...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI ZA MAAFA ZA TAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO WA MENEJIMENTI YA MAAFA


Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Kagera, Fikira Kisimba (katikati)
akifuatilia mafunzo ya menejimenti ya maafa wakati wa mafunzo kwa
waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015, (mwenye miwani) ni
Mkurugenzi msaidizi (Mipango na Utafiti), Idara ya Uratibu maafa Ofisi
ya Waziri Mkuu, Naima Mrisho.Mwakilishi wa  Mkuu wa Polisi wilaya ya Bukoba, Mkaguzi John Kayunga
akifafanua masuala ya menejimenti ya maafa katika Jeshi la Polisi
mkoani Kagera wakati wa  mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani