Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi Ruvuma watakiwa kutimiza wajibu na kisha kudai haki

Na Nathan Mtega wa demashonews,Songea SERIKALI ya mkoa wa Ruvuma imeendelea kuwasihi wafanyakazi wa sekta zote nchini wasijenge zaidi utamaduni wa kudai haki bila kutimiza wajibuwao kwanza kwa sababu kauli mbiu za vyama vingi vya wqafanyakazi kikiwemo chama cha walimu nchini ambacho kauli mbiu yake  ni wajibu na haki.  Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo,Mh. Abdula Lutavi  ----------------- Kauili hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Namtumbo Abdula Lutavi kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Ruvuma...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Abiria wana haki ya kujua wajibu, haki zao

WATUMIAJI wa huduma za usafiri wa nchi kavu na majini, bado hawajatambua haki na wajibu wao wawapo safarini. Hiyo yote inatokana na kutokufahamu wapi wapeleke malalamiko yao. Lakini makala hii...

 

9 years ago

Habarileo

RC ahimiza uadilifu kutimiza wajibu

VIONGOZI na watumishi wa umma mkoa wa Ruvuma wametakiwa kuwa waadilifu na waaminifu wakati wanapotekeleza majukumu yao kwa wananchi. Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu wakati akizindua baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Tunduru.

 

10 years ago

Mwananchi

Nchi nzima ina wajibu wa kudai fedha zetu za escrow

A Azimio la Kimataifa la Haki za Binadamu la Mwaka l949 linasema: “Maandamano ni haki ya wananchi pale wanaposhindwa kupata haki zao kwa njia ya mazungumzo, vikao, majadiliano au kupiga kura.”

 

5 years ago

Michuzi

Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu



Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...

 

9 years ago

Dewji Blog

TACCEO yaitaka NEC kutimiza wajibu wake

Mtandao wa Asasi za Kiraia za Uangalizi Chaguzi Tanzania (TACCEO) umetoa tamko jana Oktoba 6, 2015 kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhakikisha sheria na kanuni zinafuatwa na haki ya Wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi wa viongozi wao unalindwa na kuheshimiwa.

Kaimu Mwenyekiti wa TACCEO Wakili, Imelda Lulu Urio akitoa tamko kwa Wanahabari (hawako pichani)

Akisoma tamko hilo mbele ya wanahabari, Kaimu Mwenyekiti wa Mtandao huo unaoratibiwa na Kituo cha Sheria na Haki...

 

11 years ago

GPL

KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -6

Gaudensia: “Kwa hiyo umeacha makusudi ili kunithibitishia kuwa ulikuwa ukitembea na wanawake ovyoovyo?” Reina: “Siyo kutembea ovyoovyo, kwani wewe ulitegemea muda huo wote ningekuwa bila mwanamke? Acha utani kabisa, hata wewe kule Dodoma mimi nitajuaje kama siku zote hukuwa na wanaume? Tena nyie wanafunzi wa Udom kwa wabunge ndiyo zenu.” Baada ya kuzungumza hivyo, Gaudensia alianza kufanya usafi kwa...

 

11 years ago

GPL

KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -3

MSINGI wa makala haya ni kukutaka ubaki njia kuu. Usiupuuze uhusiano wako unaokupa faraja kwa tamaa za muda mfupi. Tupo sehemu ya tatu, na ni imani yangu kubwa kwamba mwisho wa somo hili, utajifunza kitu kikubwa sana. Ni ukweli ulio wazi kuwa huna sababu ya kujuta, badala yake unachotakiwa kufanya ni kutimiza wajibu wako leo. Siku zote ni lazima ukumbuke kuwa mapenzi uliyonayo au unayopata kutoka kwa mwenzi wako hivi sasa,...

 

11 years ago

GPL

KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -7

Janga kuu ambalo limeendelea kusumbua ni kuwa mtu akiwa nacho anaweza kukifuja utadhani hakitaondoka. Ni kosa kubwa kushindwa kumtunza mwenzi wako kwa kiburi tu kuwa kwako ameshafika na hataondoka. Usicheze na moyo wa mwenzio. Usifanye majaribio ya kujuta baadaye. Kufanya jambo lolote la maudhi kwa mwenzi wako kwa makusudi ni jaribio la wewe kujuta baadaye. Unayemuudhi ni binadamu, ana moyo kama ulionao wewe. Siku atakapofanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani