Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nchi nzima ina wajibu wa kudai fedha zetu za escrow

A Azimio la Kimataifa la Haki za Binadamu la Mwaka l949 linasema: “Maandamano ni haki ya wananchi pale wanaposhindwa kupata haki zao kwa njia ya mazungumzo, vikao, majadiliano au kupiga kura.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ESCROW MPASUKO NCHI NZIMA

STORI:  Mwandishi Wetu TUKUBALI tukatae, sakata la fedha kiasi cha Sh. bilioni 306 zilizochotwa kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limeipasua nchi, Risasi Jumamosi limegundua. Waziri mkuu Mizengo Pinda. Escrow imeipasua nchi kufuatia majadiliano ya waheshimiwa wengi kuanzia juzi, Alhamisi kuonekana kila mmoja ana upande wake huku wapiga kura wao nao wakiwa kinyume na wawakilishi...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi Ruvuma watakiwa kutimiza wajibu na kisha kudai haki

Na Nathan Mtega wa demashonews,Songea SERIKALI ya mkoa wa Ruvuma imeendelea kuwasihi wafanyakazi wa sekta zote nchini wasijenge zaidi utamaduni wa kudai haki bila kutimiza wajibuwao kwanza kwa sababu kauli mbiu za vyama vingi vya wqafanyakazi kikiwemo chama cha walimu nchini ambacho kauli mbiu yake  ni wajibu na haki.  Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo,Mh. Abdula Lutavi  ----------------- Kauili hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Namtumbo Abdula Lutavi kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Ruvuma...

 

10 years ago

Michuzi

JAMUHURI YA KIISLAMU YA IRAN INA WAJIBU WA KUENDELEA KUIUNGA MKONO ZANZIBAR.

Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran ina wajibu  wa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika harakati za maendeleo kutokana na Historia ndefu iliyopo ya mwingiliano wa kibiashara baina ya baadhi ya Wananchi wa pande hizo mbili.
Gavana  Mkuu wa Jimbo la Sistan na Balachestan Nchini Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran Bwana  Ali Osat Hashemi akiuongoza Ujumbe wa Viongozi saba wa Jimbo hilo alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuanzia leo, kinarusha helkopta tatu kwa siku 14 mfululizo, katika  kutekeleza kampeni iliyopewa jina la Operesheni Pamoja Daima (ODB) itakayoendeshwa katika mikoa yote nchini.

 

11 years ago

Habarileo

HESLB waagizwa kudai fedha za mikopo

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetakiwa kuja na mbinu ya kuhakikisha wanaonufaika na mkopo wa elimu ya juu wanarejesha mkopo ili utumike kwa wanafunzi wengine hivyo kupunguza idadi ya wanafunzi wanaokosa mikopo hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tuzihurimie fedha zetu si UKAWA

WATANZANIA ni watu wa ajabu sana, maajabu yenyewe yanakuja hivi; linakuja wazo la kutengeneza kitu linakubaliwa kitu kitengenezwe. Inatengwa fedha nyingi sana kwa ajili ya maandalizi, kitu kinatengenezwa na kukubalika...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema kuanza operesheni mpya kudai fedha za ufisadi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitaendesha operesheni mpya nchi nzima ikilenga kuhamasiaha wananchi kudai kurejeshwa kwa fedha zote ambazo zimeporwa katika kashfa mbalimbali za ufisadi badala ya kuachia wahusika wajiuzulu nafasi zao au wengine kufichwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vunjeni Bunge la Katiba, okoeni fedha zetu

KWA waliofutatilia na kusikiliza hotuba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, ya zaidi ya saa mbili  kwa Bunge la Katiba (CA) kule Dodoma watakubaliana nasi kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

MCHANGO WA MAWAZO: Tunawashukuru waliotutunzia fedha zetu nje

>Watanzania tunalalamika. Mimi pia nimeambiwa mara nyingi kwamba ninaandika makala za kulalamika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani