ESCROW MPASUKO NCHI NZIMA
![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSXiSXgTwcuz2ToHDxDhbZMmld4XfjIQ2-MZv9WGzJ0ixkvBYwX*qyIWEvQhNPGtSdpgl2jIGTEfMoZYLXbIps55/escore270.gif)
STORI:Â Mwandishi Wetu TUKUBALI tukatae, sakata la fedha kiasi cha Sh. bilioni 306 zilizochotwa kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limeipasua nchi, Risasi Jumamosi limegundua. Waziri mkuu Mizengo Pinda. Escrow imeipasua nchi kufuatia majadiliano ya waheshimiwa wengi kuanzia juzi, Alhamisi kuonekana kila mmoja ana upande wake huku wapiga kura wao nao wakiwa kinyume na wawakilishi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Nchi nzima ina wajibu wa kudai fedha zetu za escrow
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima
9 years ago
Habarileo23 Dec
Bomoabomoa nchi nzima
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesimamisha kazi ya bomoabomoa kwa siku 15 kwa wavamizi waliojenga katika Bonde la Mto Msimbazi, Dar es Salaam na kuwataka wavamizi hao kubomoa wenyewe na kuondoka maeneo hayo, kabla ya kazi hiyo kuanza tena Januari 5, mwakani.
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Walimu kuandamana nchi nzima
BARAZA la Taifa la Chama cha Walimu Tanzania (CWT), limetoa siku 14 kwa wakurugenzi wa halmshauri nchini kuwapa barua za kuwapandisha vyeo walimu wanaostahili la sivyo watafanya maandamano nchi nzima....
11 years ago
Habarileo23 Jun
Bodaboda zabanwa nchi nzima
POLISI imetangaza operesheni nchi nzima ya kukamata madereva wa pikipiki (bodaboda), wasiofuata sheria za usalama barabarani, wakiwemo wanaopita taa nyekundu bila kuruhusiwa.
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Ukawa kusambaa nchi nzima
9 years ago
Dewji Blog26 Dec
Matamasha ya Halotel yafunika nchi nzima
Msanii Msami akiburudisha wanakijiji wa Kahe katika tamasha la Halo Xmas.
Msanii Shilole akiimba wakati wa tamasha la Halo Xmas lililofanyika wilaya ya Kahe.
Wakazi wa Kahe wakifatilia tamasha la Halo Xmas katika Wilaya ya Kahe.
Baraka Da Prince akiimba wakati wa tamasha la Halo Xmas mjini Chato.
Msanii Matonya akiimba katika uwanja wa Ruangwa wakati wa tamasha la Halo Xmas.
Madee akiburudisha mashabiki wa Mpwapwa katika uwanja wa Mgambo.
Msanii Sheta akiimba na mtoto katika tamasha...
9 years ago
Mtanzania27 Aug
Lowassa kuzungumza na wanawake nchi nzima
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MGOMBEA urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Waziri wa zamani, Edward Lowassa, leo anatarajiwa kuzungumza na wanawake wa makundi mbalimbali nchini katika kongamano lililoandaliwa na Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha).
Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee, aliwaambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuwa Lowassa atazungumza na wanawake hao kupitia televisheni mbalimbali zitakazorusha tukio hilo moja kwa moja.
Alisema katika mkutano huo mgombea...
10 years ago
Mtanzania15 Apr
TUCTA kuitisha mgoma nchi nzima
Patricia Kimelemeta na Christina Gauluhanga
SHIRIKISHO la Vyama Vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), linatarajia kuitisha mgomo wa wafanyakazi nchi nzima, endapo Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) haitaondoa kanuni mpya ambayo inaruhusu watumishi watakaostaafu kwa hiari yao kukatwa asilimia 18 ya mafao yao.
Kanuni hiyo mpya itaanza kutumika Julai mwaka huu ambapo watumishi watakaostaafu kwa hiari watalazimika kukatwa kiasi hicho.
Ili kuhakikisha suala hilo...