Ukawa kusambaa nchi nzima
 Siku moja baada ya kususia Bunge, wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wametangaza kuanza utaratibu wa kuzungumza na wananchi juu ya kilichotokea na kinachoendelea bungeni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Ukawa ruksa kufanya mikutano nchi nzima
10 years ago
CloudsFM13 Aug
UKAWA KUANDAMANA NCHI NZIMA KUMSHINIKIZA RAIS KUSITISHA BUNGE LA KATIBA
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umemtaka Rais Jakaya Kikwete kusitisha Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma na iwapo hatafanya hivyo utaongoza maandamano nchi nzima.
Umoja huo pia umeeleza kuwa kuendelea kwa Bunge hilo ni sawa na kuvuruga mchakato wa kupata Katiba Mpya, kuiweka nchi rehani, kufuja fedha za walipakodi, kuwahadaa Watanzania kwa kupitisha Katiba isiyotokana na maoni yao, huku kanuni zikibadilishwa na kuingizwa mambo ya Tanganyika katika Rasimu ya Katiba ya...
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima
9 years ago
Habarileo23 Dec
Bomoabomoa nchi nzima
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesimamisha kazi ya bomoabomoa kwa siku 15 kwa wavamizi waliojenga katika Bonde la Mto Msimbazi, Dar es Salaam na kuwataka wavamizi hao kubomoa wenyewe na kuondoka maeneo hayo, kabla ya kazi hiyo kuanza tena Januari 5, mwakani.
11 years ago
Habarileo23 Jun
Bodaboda zabanwa nchi nzima
POLISI imetangaza operesheni nchi nzima ya kukamata madereva wa pikipiki (bodaboda), wasiofuata sheria za usalama barabarani, wakiwemo wanaopita taa nyekundu bila kuruhusiwa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSXiSXgTwcuz2ToHDxDhbZMmld4XfjIQ2-MZv9WGzJ0ixkvBYwX*qyIWEvQhNPGtSdpgl2jIGTEfMoZYLXbIps55/escore270.gif)
ESCROW MPASUKO NCHI NZIMA
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Walimu kuandamana nchi nzima
BARAZA la Taifa la Chama cha Walimu Tanzania (CWT), limetoa siku 14 kwa wakurugenzi wa halmshauri nchini kuwapa barua za kuwapandisha vyeo walimu wanaostahili la sivyo watafanya maandamano nchi nzima....
9 years ago
Mtanzania27 Aug
Lowassa kuzungumza na wanawake nchi nzima
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MGOMBEA urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Waziri wa zamani, Edward Lowassa, leo anatarajiwa kuzungumza na wanawake wa makundi mbalimbali nchini katika kongamano lililoandaliwa na Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha).
Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee, aliwaambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuwa Lowassa atazungumza na wanawake hao kupitia televisheni mbalimbali zitakazorusha tukio hilo moja kwa moja.
Alisema katika mkutano huo mgombea...
10 years ago
Mtanzania15 Apr
TUCTA kuitisha mgoma nchi nzima
Patricia Kimelemeta na Christina Gauluhanga
SHIRIKISHO la Vyama Vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), linatarajia kuitisha mgomo wa wafanyakazi nchi nzima, endapo Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) haitaondoa kanuni mpya ambayo inaruhusu watumishi watakaostaafu kwa hiari yao kukatwa asilimia 18 ya mafao yao.
Kanuni hiyo mpya itaanza kutumika Julai mwaka huu ambapo watumishi watakaostaafu kwa hiari watalazimika kukatwa kiasi hicho.
Ili kuhakikisha suala hilo...