Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa ruksa kufanya mikutano nchi nzima

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa ruksa kwa wanachama wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya mikutano yao nchi nzima.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ukawa kusambaa nchi nzima

 Siku moja baada ya kususia Bunge, wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wametangaza kuanza utaratibu wa kuzungumza na wananchi juu ya kilichotokea na kinachoendelea bungeni.

 

9 years ago

Global Publishers

Lowassa kufanya ziara nchi nzima kuanzia kesho

LOWASSA_0.jpgEdward Lowassa. Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ataanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kuwashukuru Watanzania kwa kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 na kesho atakuwa Tanga. Katika ziara hiyo, Lowassa ataambatana na viongozi waandamizi wa Chadema na Ukawa kuwashukuru wananchi kwa namna walivyounga mkono upinzani na ajenda nzima ya mabadiliko katika Uchaguzi Mkuu uliopita. Taarifa kwa...

 

5 years ago

Michuzi

Ofisi za ukaguzi kujengwa nchi nzima ili kuongeza uhuru wa kufanya kazi


Na Amiri kilagalila,Njombe

Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali nchini Bw,Charles E Kichere,amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa ofisi ya Taifa ya ukaguzi mkoa wa Njombe inayoendelea kujengwa mkoani humo,huku akiagiza kukamilishwa kwa ofisi hizo kabla ya mwezi wa sita ili ziweze kutumika.

Akiwa katika eneo la jengo za ofisi hizo lililopo Lunyanywi halmashauri ya mji wa Njombe,Kichere amesema anahitaji majengo hayo kukamilika kabla ya mwezi wa sita ili watumishi wapate...

 

10 years ago

CloudsFM

UKAWA KUANDAMANA NCHI NZIMA KUMSHINIKIZA RAIS KUSITISHA BUNGE LA KATIBA

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umemtaka Rais Jakaya Kikwete kusitisha Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma na iwapo hatafanya hivyo utaongoza maandamano nchi nzima.
Umoja huo pia umeeleza kuwa kuendelea kwa Bunge hilo ni sawa na kuvuruga mchakato wa kupata Katiba Mpya, kuiweka nchi rehani, kufuja fedha za walipakodi, kuwahadaa Watanzania kwa kupitisha Katiba isiyotokana na maoni yao, huku kanuni zikibadilishwa na kuingizwa mambo ya Tanganyika katika Rasimu ya Katiba ya...

 

9 years ago

Michuzi

TBS KUFANYA MSAKO MKALI NCHI NZIMA KUWABAINI WAUZAJI WA UMEME NURU 'SOLAR POWER PANELS' ZILIZO CHINI YA KIWANGO

 Katibu  Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew Matimbwi (katikati), akiwaonesha wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi Umeme Nuru (Solar Power panels) ambazo hazina ubora zilizokamatwa zikiwa katika soko la Tanzania baada ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi hiyo, kufanya uchunguzi na kubaini kuwepo katika soko solar hizo. Kulia ni Ofisa Viwango wa TBS, Henry Massawe  na Ofisa Uhusiano, Roida Andusamile. Katibu  Mtendaji wa Taasisi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mikutano ya siasa Lindi, Mtwara ruksa

SERIKALI imeondoa zuio la mikutano ya vyama vya siasa lililokuwa limewekwa tangu mwaka juzi kwa mikoa ya Lindi na Mtwara. Katika taarifa ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, anasema hatua hiyo imetokana na Serikali kuridhika kuwa hali ya amani na utulivu imerejea katika mikoa hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuanzia leo, kinarusha helkopta tatu kwa siku 14 mfululizo, katika  kutekeleza kampeni iliyopewa jina la Operesheni Pamoja Daima (ODB) itakayoendeshwa katika mikoa yote nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa ruksa kuunguruma leo Zanzibar

Hatimaye mkutano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), uliokuwa umezuiwa kupisha sherehe za Muungano utafanyika leo katika Viwanja vya Kibandamaiti, Unguja baada ya kupata baraka za polisi.

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa ruksa kuzindua kampeni Jangwani kesho

Hatimaye Chadema imeruhusiwa kutumia Viwanja vya Jangwani kwa ajili ya kuzindua kampeni za mgombea wake wa urais, Edward Lowassa kesho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani