Lowassa kufanya ziara nchi nzima kuanzia kesho
Edward Lowassa.
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ataanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kuwashukuru Watanzania kwa kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 na kesho atakuwa Tanga.
Katika ziara hiyo, Lowassa ataambatana na viongozi waandamizi wa Chadema na Ukawa kuwashukuru wananchi kwa namna walivyounga mkono upinzani na ajenda nzima ya mabadiliko katika Uchaguzi Mkuu uliopita.
Taarifa kwa...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Lowassa kuzunguka nchi nzima kuanzia kesho
10 years ago
MichuziCHADEMA YAENDELEA KUKOMAA YASISITIZA MAANDAMANO YAPO PALE PALE NCHI NZIMA KUANZIA KESHO
11 years ago
Michuzi01 Jul
Mwanamfalme Akishino wa Japan na Mkewe kufanya ziara rasmi ya siku tano Tanzania kuanzia kesho
![](https://4.bp.blogspot.com/-DzO4Iuwlb7U/U7KiGl2U2tI/AAAAAAAAU9E/YWGB1qeHl1Y/s1600/Mwanamfalme+Akishino.jpg)
Akiwa hapa nchini Mwanamfalme Akishino atakutana kwa mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya kutembelea Kituo cha Mafunzo cha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO); Makumbusho ya Taifa na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Akiendelea na ziara yake, Mwanamfalme Akishino atatembelea Visiwa vya Zanzibar na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2CKLwYj48ow/VVdLaaKn41I/AAAAAAAAdgM/UjA_scdgeJ0/s72-c/Rais%2BNyusi.jpg)
Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi kufanya ziara ya siku tatu nchini kuanzia kesho
![](http://1.bp.blogspot.com/-2CKLwYj48ow/VVdLaaKn41I/AAAAAAAAdgM/UjA_scdgeJ0/s640/Rais%2BNyusi.jpg)
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Ukawa ruksa kufanya mikutano nchi nzima
9 years ago
Mtanzania27 Aug
Lowassa kuzungumza na wanawake nchi nzima
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MGOMBEA urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Waziri wa zamani, Edward Lowassa, leo anatarajiwa kuzungumza na wanawake wa makundi mbalimbali nchini katika kongamano lililoandaliwa na Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha).
Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee, aliwaambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuwa Lowassa atazungumza na wanawake hao kupitia televisheni mbalimbali zitakazorusha tukio hilo moja kwa moja.
Alisema katika mkutano huo mgombea...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-zgkNptFx19A/Vb71jxUufMI/AAAAAAABTEo/Vn98NeYoA_Y/s72-c/Bwana%2BRashidi%2BSalehe.jpg)
CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.
![](http://3.bp.blogspot.com/-zgkNptFx19A/Vb71jxUufMI/AAAAAAABTEo/Vn98NeYoA_Y/s640/Bwana%2BRashidi%2BSalehe.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QHSwt70G_VE/Xq8R3fd3WJI/AAAAAAALo_I/pY9kRMQvMzs454GEH2Z8pnLWTNTH69MNgCLcBGAsYHQ/s72-c/G.png)
Ofisi za ukaguzi kujengwa nchi nzima ili kuongeza uhuru wa kufanya kazi
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali nchini Bw,Charles E Kichere,amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa ofisi ya Taifa ya ukaguzi mkoa wa Njombe inayoendelea kujengwa mkoani humo,huku akiagiza kukamilishwa kwa ofisi hizo kabla ya mwezi wa sita ili ziweze kutumika.
Akiwa katika eneo la jengo za ofisi hizo lililopo Lunyanywi halmashauri ya mji wa Njombe,Kichere amesema anahitaji majengo hayo kukamilika kabla ya mwezi wa sita ili watumishi wapate...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-B3tEWMWyARg/Vdsz4j9nwDI/AAAAAAAC98Q/4zZ0n216u0s/s72-c/_MG_5839.jpg)
MGOMBEA URAIS DR MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA KAMPENI RUVUMA KUANZIA AUGUST 30
![](http://3.bp.blogspot.com/-B3tEWMWyARg/Vdsz4j9nwDI/AAAAAAAC98Q/4zZ0n216u0s/s640/_MG_5839.jpg)
MGOMBEA Urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Dr. John Magufuli anatarajiwa kupokelewa na mamia ya wananchi wakiwemo wanachama wa chama cha mapinduzi katika kijiji cha Igawisenga wilayani Songea mkoa wa Ruvuma akitokea mkoa wa Njombe tayari kuanza kampeni mkoani humo.Akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye ofisi za chama cha mapinduuzi mkoani Ruvuma Mwenyekiti wa kamati ya maandilizi ya kampeni mkoani Ruvuma ya mgombea uraisi wa jamhuri ya mungano wa Tanzania...