Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi kufanya ziara ya siku tatu nchini kuanzia kesho
![](http://1.bp.blogspot.com/-2CKLwYj48ow/VVdLaaKn41I/AAAAAAAAdgM/UjA_scdgeJ0/s72-c/Rais%2BNyusi.jpg)
Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Nyusi Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi anatarajiwa kuwasili nchini kesho tarehe 17 Mei, 2015 kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu nchini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.Mhe. Rais Nyussi atapokelewa na mwenyeji wake Mhe. Rais Kikwete mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Mhe. Rais Nyusi atakagua Gwaride la Heshima na kupigiwa mizinga 21.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/--HjGH0NARI4/VVioPWvI-FI/AAAAAAADnJg/Mmx4z-kdZtI/s72-c/ny1.jpg)
RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSSI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU
![](http://4.bp.blogspot.com/--HjGH0NARI4/VVioPWvI-FI/AAAAAAADnJg/Mmx4z-kdZtI/s640/ny1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-HcbW634hTbc/VVioP_9DcXI/AAAAAAADnJk/V2sPfec_yoE/s640/ny2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZJ2IPqciv78/VVioPwZ284I/AAAAAAADnJo/D2QPFj7hznA/s640/ny3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog16 May
Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kutua nchini Jumapili Mei 17 kwa ziara ya siku 3
Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji
Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi anatarajia kuwasili nchini Tanzania Mei 17 mwaka huu kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo pamoja na mambo mengine anatarajia kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.
Akitoa taarifa ya ziara hiyo leo jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecki Sadiki amesema kuwa Rais Filipe Nyusi atawasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OtyDhIkKdxE/VVkR1YlLMcI/AAAAAAAHX1o/s2gm5UeTawQ/s72-c/ny2.jpg)
RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSI APATA MAPOKEZI MAKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-OtyDhIkKdxE/VVkR1YlLMcI/AAAAAAAHX1o/s2gm5UeTawQ/s640/ny2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Oi0_c6PvIjE/VVkR1Wv5z8I/AAAAAAAHX1s/KM8zEHNlcH0/s640/ny3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-lV9ZiBznFsM/VVkR6vV0m3I/AAAAAAAHX18/_pMUCJ12QnY/s640/ny4.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9PaAgiwt2jc/VLa86lf8RyI/AAAAAAAG9Xo/m3EhPKtpqKU/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
JK awasili maputo usiku huu kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi kesho
![](http://2.bp.blogspot.com/-9PaAgiwt2jc/VLa86lf8RyI/AAAAAAAG9Xo/m3EhPKtpqKU/s1600/unnamed%2B(13).jpg)
10 years ago
MichuziRais Wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi alihutubia Bunge Dodoma
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/FVNw5giHrz0/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-oxlHYVna4aY/VeoD5iOJx9I/AAAAAAAH2a0/QfCUitAmg3o/s72-c/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
Rais Kikwete apokea Ujumbe kutoka kwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
![](http://4.bp.blogspot.com/-oxlHYVna4aY/VeoD5iOJx9I/AAAAAAAH2a0/QfCUitAmg3o/s640/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-yk3Ma9T_hQY/VeoD5m9XFsI/AAAAAAAH2a4/Fr4HZROwjQU/s640/unnamed%2B%252818%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi01 Jul
Mwanamfalme Akishino wa Japan na Mkewe kufanya ziara rasmi ya siku tano Tanzania kuanzia kesho
![](https://4.bp.blogspot.com/-DzO4Iuwlb7U/U7KiGl2U2tI/AAAAAAAAU9E/YWGB1qeHl1Y/s1600/Mwanamfalme+Akishino.jpg)
Akiwa hapa nchini Mwanamfalme Akishino atakutana kwa mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya kutembelea Kituo cha Mafunzo cha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO); Makumbusho ya Taifa na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Akiendelea na ziara yake, Mwanamfalme Akishino atatembelea Visiwa vya Zanzibar na...
10 years ago
Vijimambo14 Jan
Rais Kikwete awasili nchini Msumbiji kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais Nyusi