JK awasili maputo usiku huu kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi kesho
![](http://2.bp.blogspot.com/-9PaAgiwt2jc/VLa86lf8RyI/AAAAAAAG9Xo/m3EhPKtpqKU/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Maputo usiku huu kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi kesho mjini Maputo. Mhe. Nyusi anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais Armando Emilio Jacinto Guebuza anayemaliza muda wake. Picha na Freddy Maro
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo14 Jan
Rais Kikwete awasili nchini Msumbiji kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais Nyusi
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2CKLwYj48ow/VVdLaaKn41I/AAAAAAAAdgM/UjA_scdgeJ0/s72-c/Rais%2BNyusi.jpg)
Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi kufanya ziara ya siku tatu nchini kuanzia kesho
![](http://1.bp.blogspot.com/-2CKLwYj48ow/VVdLaaKn41I/AAAAAAAAdgM/UjA_scdgeJ0/s640/Rais%2BNyusi.jpg)
10 years ago
Dewji Blog16 May
Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kutua nchini Jumapili Mei 17 kwa ziara ya siku 3
Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji
Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi anatarajia kuwasili nchini Tanzania Mei 17 mwaka huu kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo pamoja na mambo mengine anatarajia kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.
Akitoa taarifa ya ziara hiyo leo jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecki Sadiki amesema kuwa Rais Filipe Nyusi atawasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius...
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA KUAPISHWA RAIS MPYA WA MSUMBIJI
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/FVNw5giHrz0/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-oxlHYVna4aY/VeoD5iOJx9I/AAAAAAAH2a0/QfCUitAmg3o/s72-c/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
Rais Kikwete apokea Ujumbe kutoka kwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
![](http://4.bp.blogspot.com/-oxlHYVna4aY/VeoD5iOJx9I/AAAAAAAH2a0/QfCUitAmg3o/s640/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-yk3Ma9T_hQY/VeoD5m9XFsI/AAAAAAAH2a4/Fr4HZROwjQU/s640/unnamed%2B%252818%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OtyDhIkKdxE/VVkR1YlLMcI/AAAAAAAHX1o/s2gm5UeTawQ/s72-c/ny2.jpg)
RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSI APATA MAPOKEZI MAKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-OtyDhIkKdxE/VVkR1YlLMcI/AAAAAAAHX1o/s2gm5UeTawQ/s640/ny2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Oi0_c6PvIjE/VVkR1Wv5z8I/AAAAAAAHX1s/KM8zEHNlcH0/s640/ny3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-lV9ZiBznFsM/VVkR6vV0m3I/AAAAAAAHX18/_pMUCJ12QnY/s640/ny4.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eNIkOIuujRM/VheGRNVadSI/AAAAAAAH-C4/-b9OnnHRp-o/s72-c/unnamed%2B%252850%2529.jpg)
RAIS NYUSI WA MSUMBIJI AMWANDALIA JK DHIFA MAALUM YA KUMUAGA, JIJI LA MAPUTO LAMTUNUKU UKAZI WA KUDUMU
![](http://3.bp.blogspot.com/-eNIkOIuujRM/VheGRNVadSI/AAAAAAAH-C4/-b9OnnHRp-o/s640/unnamed%2B%252850%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-BPgAgufU1qE/VheGREUiJXI/AAAAAAAH-C8/OrFa2htZFb8/s640/unnamed%2B%252851%2529.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/--HjGH0NARI4/VVioPWvI-FI/AAAAAAADnJg/Mmx4z-kdZtI/s72-c/ny1.jpg)
RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSSI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU
![](http://4.bp.blogspot.com/--HjGH0NARI4/VVioPWvI-FI/AAAAAAADnJg/Mmx4z-kdZtI/s640/ny1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-HcbW634hTbc/VVioP_9DcXI/AAAAAAADnJk/V2sPfec_yoE/s640/ny2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZJ2IPqciv78/VVioPwZ284I/AAAAAAADnJo/D2QPFj7hznA/s640/ny3.jpg)