Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa kuzungumza na wanawake nchi nzima

lowassa-1NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

MGOMBEA urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Waziri wa zamani, Edward Lowassa, leo anatarajiwa kuzungumza na wanawake wa makundi mbalimbali nchini katika kongamano lililoandaliwa na Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha).

Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee, aliwaambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuwa  Lowassa atazungumza na wanawake hao kupitia televisheni mbalimbali zitakazorusha tukio hilo moja kwa moja.

Alisema katika mkutano huo mgombea...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Lowassa kuzunguka nchi nzima kuanzia kesho

Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ataanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kuwashukuru Watanzania kwa kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 na kesho atakuwa Tanga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lina sasa akamia soka wanawake nchi nzima

CHAMA cha Soka ya Wanawake Tanzania (TWFA), kimesema kitahakikisha mikoa yote nchini inacheza ligi kama ilivyo kwa upande wa wanaume. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa chama hicho,...

 

9 years ago

Global Publishers

Lowassa kufanya ziara nchi nzima kuanzia kesho

LOWASSA_0.jpgEdward Lowassa. Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ataanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kuwashukuru Watanzania kwa kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 na kesho atakuwa Tanga. Katika ziara hiyo, Lowassa ataambatana na viongozi waandamizi wa Chadema na Ukawa kuwashukuru wananchi kwa namna walivyounga mkono upinzani na ajenda nzima ya mabadiliko katika Uchaguzi Mkuu uliopita. Taarifa kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuanzia leo, kinarusha helkopta tatu kwa siku 14 mfululizo, katika  kutekeleza kampeni iliyopewa jina la Operesheni Pamoja Daima (ODB) itakayoendeshwa katika mikoa yote nchini.

 

11 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada wakati alipo mtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na kufanya nae mazungumzo. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada ofisini kwake,Mwenge jijini Dar es Salaam. Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada akifafanua jambo wakati wa Mazungumzo na...

 

9 years ago

Habarileo

Bomoabomoa nchi nzima

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesimamisha kazi ya bomoabomoa kwa siku 15 kwa wavamizi waliojenga katika Bonde la Mto Msimbazi, Dar es Salaam na kuwataka wavamizi hao kubomoa wenyewe na kuondoka maeneo hayo, kabla ya kazi hiyo kuanza tena Januari 5, mwakani.

 

11 years ago

Habarileo

Bodaboda zabanwa nchi nzima

Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera SensoPOLISI imetangaza operesheni nchi nzima ya kukamata madereva wa pikipiki (bodaboda), wasiofuata sheria za usalama barabarani, wakiwemo wanaopita taa nyekundu bila kuruhusiwa.

 

10 years ago

GPL

ESCROW MPASUKO NCHI NZIMA

STORI:  Mwandishi Wetu TUKUBALI tukatae, sakata la fedha kiasi cha Sh. bilioni 306 zilizochotwa kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limeipasua nchi, Risasi Jumamosi limegundua. Waziri mkuu Mizengo Pinda. Escrow imeipasua nchi kufuatia majadiliano ya waheshimiwa wengi kuanzia juzi, Alhamisi kuonekana kila mmoja ana upande wake huku wapiga kura wao nao wakiwa kinyume na wawakilishi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu kuandamana nchi nzima

BARAZA la Taifa la Chama cha Walimu Tanzania (CWT), limetoa siku 14 kwa wakurugenzi wa halmshauri nchini kuwapa barua za kuwapandisha vyeo walimu wanaostahili la sivyo watafanya maandamano nchi nzima....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani