Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa ruksa kuzindua kampeni Jangwani kesho

Hatimaye Chadema imeruhusiwa kutumia Viwanja vya Jangwani kwa ajili ya kuzindua kampeni za mgombea wake wa urais, Edward Lowassa kesho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

UKAWA WAZUIWA KUZINDUA KAMPENI JANGWANI

JIJI la Dar es Salaam wamemzuia Mgombea wa UKAWA, Edward Lowassa kuzindua kampeni yake kwenye viwanja vya Jangwani Jumamosi ya 29 Agosti , 2015 . Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, James Mbatia amesema jiji umewagomea kufanya uzinduzi huo Jangwani kwa madai kuwa tayari kuna mtu mwingine ambaye ameshalipia uwanja huo. Mbatia anasema pamoja na kufanya juhudi za kuomba kutajiwa aliyelipia uwanja huo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA kuwasha moto kesho Jangwani

MWENYEKITI wa Kamati ya Ufundi na Oganaizesheni ya Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA), Benson Kigaila, amesema serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM), inawaandaa watanzania kusaka njia mbadala ya kutafuta...

 

9 years ago

Dewji Blog

Uzinduzi wa kampeni za UKAWA, Jangwani yatapika

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Ukawa, Mh Edward Lowassa akiongea na wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza katika uzinduzi wa Kampeni za Ukawa katika viwanja vya Jangwani mapema leo.Mh Lowassa amesema kipaumbele chake kimoja wapo ni Elimu huku akisisitiza kuwa kampeni zao zitakuwa ni za busara na hekima bila kutumia matusi. Mke wa Mgombea Urais kupitia Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Mama Regina Lowassa akitoa salamu kwa wakazi wa Jiji la Dar Waliojitokeza katika uzinduzi wa...

 

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

UKAWA WALIPOZINDUA KAMPENI ZAO JANGWANI JIJINI DAR

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji wakiwasili kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Umati wa wakazi wa Jijini Dar es salaam, ukiwa umefurika kwa wingi kwenye viwanja vya Jangwani kuwalaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wazindua kampeni viwanja vya Jangwani Dar

Baada ya kusubiri kwa takribani wiki moja, hatimaye Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wazindua kampeni zao jijini Dar es Salaam leo.

 

9 years ago

Vijimambo

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU CCM YAKAMILIKA, MAGUFULI, SAMIA KUUNGURUMA JANGWANI KESHO

 Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Juma 'Gadafi' akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi kwake leo asubuhi, kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya uzinduzi wa mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu wa chama hicho utaofanyika kesho viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Picha zikichukuliwa.
Na Dotto Mwaibale
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza ratiba ya uzinduzi wa kampeni za...

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA UKAWA WAZINDUA KAMPENI ZAO JANGWANI JIJINI DAR LEO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji wakiwasili kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
 Umati wa wakazi wa Jijini Dar es salaam, ukiwa umefurika kwa wingi kwenye viwanja vya Jangwani kuwalaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Habarileo

ACT Wazalendo kuzindua kampeni Jumapili, Ukawa Jumamosi

CHAMA cha ACT-Wazalendo kinatarajia kuzindua kampeni zake Jumapili Agosti 30, katika viwanja vya Mbagala Zakhem, jijini Dar es Salaam. Ofisa Habari wa chama hicho, Abdallah Khamisi alimwambia mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu kuwa mgombea urais, Anna Mghwira na mgombea mwenza wake, Hamad Mussa Yusuf watamwaga sera zao kwa wakazi wa Dar es Salaam siku hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani