Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzinduzi wa kampeni za UKAWA, Jangwani yatapika

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Ukawa, Mh Edward Lowassa akiongea na wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza katika uzinduzi wa Kampeni za Ukawa katika viwanja vya Jangwani mapema leo.Mh Lowassa amesema kipaumbele chake kimoja wapo ni Elimu huku akisisitiza kuwa kampeni zao zitakuwa ni za busara na hekima bila kutumia matusi. Mke wa Mgombea Urais kupitia Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Mama Regina Lowassa akitoa salamu kwa wakazi wa Jiji la Dar Waliojitokeza katika uzinduzi wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Credit:MillardAyo.Com

 

9 years ago

Vijimambo

Lowassa kiboko yao, Jangwani yatapika

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Ukawa, Mh Edward Lowassa akiongea na wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza katika uzinduzi wa Kampeni za Ukawa katika viwanja vya Jangwani mapema leo.Mh Lowassa amesema kipaumbele chake kimoja wapo ni Elimu huku akisisitiza kuwa kampeni zao zitakuwa ni za busara na hekima bila kutumia matusi.Mke wa Mgombea Urais kupitia Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Mama Regina Lowassa akitoa salamu kwa wakazi wa Jiji la Dar Waliojitokeza katika uzinduzi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kumekucha uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu CCM, Viwanja vya Jangwani leo

dafKatibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Juma ‘Gadafi’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi kwake uliofanyika mapema Agosti 22, kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya uzinduzi wa mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu wa chama hicho utaofanyika leo viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.

Na Dotto Mwaibale   CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza ratiba ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa chama hicho utakaofanyika leo...

 

9 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Kampeni za CCM Jumapili viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mhe Benjamin William Mkapa wakimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara uliovutia umati uliovunja rekodi kwa wingi katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es alaam Jumapili Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais Kikwete na Rais Shein pamoja na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa Waziri...

 

9 years ago

GPL

UKAWA WAZUIWA KUZINDUA KAMPENI JANGWANI

JIJI la Dar es Salaam wamemzuia Mgombea wa UKAWA, Edward Lowassa kuzindua kampeni yake kwenye viwanja vya Jangwani Jumamosi ya 29 Agosti , 2015 . Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, James Mbatia amesema jiji umewagomea kufanya uzinduzi huo Jangwani kwa madai kuwa tayari kuna mtu mwingine ambaye ameshalipia uwanja huo. Mbatia anasema pamoja na kufanya juhudi za kuomba kutajiwa aliyelipia uwanja huo...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa ruksa kuzindua kampeni Jangwani kesho

Hatimaye Chadema imeruhusiwa kutumia Viwanja vya Jangwani kwa ajili ya kuzindua kampeni za mgombea wake wa urais, Edward Lowassa kesho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani