JAMUHURI YA KIISLAMU YA IRAN INA WAJIBU WA KUENDELEA KUIUNGA MKONO ZANZIBAR.
Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran ina wajibu wa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika harakati za maendeleo kutokana na Historia ndefu iliyopo ya mwingiliano wa kibiashara baina ya baadhi ya Wananchi wa pande hizo mbili.
Gavana Mkuu wa Jimbo la Sistan na Balachestan Nchini Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran Bwana Ali Osat Hashemi akiuongoza Ujumbe wa Viongozi saba wa Jimbo hilo alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziDENMARK IMEAHIDI KUENDELEA KUIUNGA MKONO ZANZIBAR KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KIUCHUMI
Picha na –OMPR – ZNZ. DENMARK imeahidi kuendelea kuiunga Mkono Zanzibar katika harakati zake za...
9 years ago
MichuziRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli Atoa Mkono wa Krismas na Mwaka Mpya kwa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar.
Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mbuzi Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya Wazee hao Welezo Zanzibar, Vyakula hivyo vimetolewa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kwa ajili ya Wazee hao kujumuiika na Wananchi katika kusherehekea Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya. Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mafuta ya Kupikia Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla...
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Wanazuoni wa Kiislamu wajibu hoja ya maaskofu
10 years ago
Mwananchi25 Aug
Waaswa kuiunga mkono Serikali
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
Ujerumani kuiunga mkono Ufaransa Syria
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Waislamu watakiwa kuiunga mkono Bakwata
TAASISI ya Tanzania Islamic Peace Foundation (TIPF) imewataka Waislamu kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata). Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Sheikh Sadiki...
9 years ago
StarTV26 Nov
Jukwaa la Wazalendo lawahimiza wananchi kuiunga mkono Hotuba Ya Rais
Jukwaa huru la Wazalendo limetangaza kuunga mkonon hotuba ya Rais wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli aliyoitoa Novemba 19 katika ufunguzi wa Bunge la kumi na moja Mjini Dodoma.
Katika ufunguzi wa Bunge hilo Rais Magufuli ,alitangaza mpango mkakati wa Serikali wa kubana matumizi ikiwemo kupunguza safari za nje ya nchi za maofisa wa Serikali pamoja na kuondoa matumizi ya fedha yasiyo yalazima.
Hotuba ya Kwanza Rais Magufuli kuitoa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu...
11 years ago
Dewji Blog17 May
Balozi Seif Ali Iddi aiomba IFAD kuendelea kuwaunga mkono wazalishaji katika sekta ya kilimo Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi kwenye chakula maalum cha usiku walichoandaliwa wajumbe wa Bodi Tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Kilimo { IFAD } hapo Serena Hoteli Shangani Mjini Zanzibar.
Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo { IFAD }umeombwa kuendelea kuunga mkono Sekta ya Kilimo Zanzibar katika njia ya kuwajengea uwezo wazalishaji wa Sekta hiyo mama ya uchumi kupitia mfumo wa Teknolojia ya kisasa.
Ombi hilo...
10 years ago
MichuziBENKI YA EXIM YAJIDHATITI KUIUNGA MKONO SERIKALI KATIKA VITA DHIDI YA MALARIA