Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jukwaa la Wazalendo lawahimiza wananchi kuiunga mkono Hotuba Ya Rais

Jukwaa huru la Wazalendo limetangaza kuunga mkonon hotuba ya Rais wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli aliyoitoa Novemba 19 katika ufunguzi wa Bunge la kumi na moja Mjini Dodoma.

Katika ufunguzi wa Bunge hilo Rais Magufuli ,alitangaza mpango mkakati wa Serikali wa kubana matumizi ikiwemo kupunguza safari za nje ya nchi za maofisa wa Serikali pamoja na kuondoa matumizi ya fedha yasiyo yalazima.

Hotuba ya Kwanza Rais Magufuli kuitoa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TAMKO LA JUKWAA HURU LA WAZALENDO KUUNGA MKONO HOTUBA YA MAGUFULI





 Mwenyekiti wa Jukwaa Huru la Wazalendo Ndugu Salum Ally Hapi akizungumza na waandishi wa habari kwenye hotel ya Travetine ,Magomeni jijini Dar es Salaam, kulia ni Katibu wa Jukwaa hilo Ndugu Mtela Mwampamba.

Ndugu wanahabari,

Mbele yenu sisi tuliowaita hapa ni Jukwaa Huru la Wazalendo ambalo limeitisha mkutano huu ili kufikisha yale tuliyoyakusudia kuwaeleza umma wa watanzania.

Sote tunatambua kuwa nchi yetu imetoka katika uchaguzi mkuu ambao umetupatia viongozi wapya wa awamu ya tano ya...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WATAKIWA KUIUNGA MKONO SERIKALI KWA KUBORESHA HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA HAPA NCHINI


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel akiwajulia hali wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa ziara yake ya kikazi aliyofanya katika Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuangalia huduma za matibu ya moyo zinazotolewa.


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel akimsikiliza Msimamizi wa wodi ya watoto Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...

 

9 years ago

Vijimambo

COMRADE MWIGULU NCHEMBA SASA AINGIA MANYARA,WANANCHI WAFURIKA KUIUNGA MKONO CCM UCHAGUZI MKUU 2015

Mwigulu Nchemba mmoja ya wajumbe 32 wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mjini jioni ya leo alipofika kwaajili ya Kuomba kura kwaajili ya Rais,Mbunge na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi.Sehemu ya Wananchi wa Karatu Mjini waliofika Uwanjawa Mazingira Bora kusikiliza Mkutano wa hadhara wa Mwigulu Nchemba.Mwigulu Nchemba akitoa darasa kwa Wananchi wa karatu kuhusu biashara ya Kumuacha Dr.slaa na kumpatia Edward Lowassa aliyehamia kutoka CCM.Dr.slaa...

 

9 years ago

CCM Blog

JUKWAA HURU LA WAZALENDO LATOA TAMKO KUHUSU RAIS DK. MAGUFULI NA WABUNGE

Baada ya Rais Dk. John Magufuli kuonyesha dhamira yake ya thati kutaka kuliinua taifa la Tanzania kutoka katika lindi la umasikini katika nyanja mbalimbali, kwa kupunguza gharama zisizo za lazima ikiwemo fedha zinazoangamia katika posho, sherehe na safari za nje, Leo Jukwaa Huru la Wazalendo limejitokeza kumuunga mkono kwa kutoa tamko zito. Pichani, Mwenyekiti wa Jukwaa hilo, Ally Salum Hapi akizungumza na Waandishi wa habari leo katika hoteli ya Travertine, Magomeni jijini Dar es Salaam...

 

5 years ago

Michuzi

JUKWAA LA WALIMU WAZALENDO TANZANIA WAFURAHISHWA NA KASI YA UKUAJI WA MAENDELEO NCHINI CHINI YA RAIS DK.MAGUFULI

 Katibu Mkuu wa Jukwaa la Walimu Wazalendo Tanzania Anuary Mgonde(katikati) akizungumza leo Juni 11,2020 jijini Dar es Salaam kuhusu jukwaa hilo kumpongeza Rais Dk.John Magufuli alivyosimama imara katika mapambano dhidi ya Corona.Pia Jukwaa hilo limetoa tamko la kuendelea kumuunga mkono Rais Magufuli ikiwa pamoja na kuhakikisha anashinda kwa kishindo kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu.Wengine ni Mwenyekiti wa Jukwaa hilo Mkoa wa Kilamanjaro George Madaraka (kushoto) na Mwenyekiti wa jukwaa hilo...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Mwakyembe Apongeza Wazalendo Wanaounga Mkono Juhudi za Rais Magufuli


Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na Bw. Mussa Issa (kushoto) meneja wa Mtoto Romeo Asubisye (mwenye suti ya kijani) aliyekuja kumtambulisha mtoto huyo baada ya kutwaa medali takriban 09,katika mashindano mbalimbali ya kuogelea ikwemo Cana Zone Three Africa yaliyofanyika mwaka 2019 nchini KenyaWaziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja  na Bw. Mussa Issa...

 

10 years ago

Mwananchi

Waaswa kuiunga mkono Serikali

Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu Francisco Padilla amesema ili kuimarisha ustawi wa jamii na kudumisha amani, taasisi mbalimbali zinapaswa kuunga mkono juhudi zifanywazo na Serikali ya Tanzania katika kuboresha huduma muhimu kwa jamii.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waislamu watakiwa kuiunga mkono Bakwata

TAASISI ya Tanzania Islamic Peace Foundation (TIPF) imewataka Waislamu kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata). Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Sheikh Sadiki...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ujerumani kuiunga mkono Ufaransa Syria

Baraza la mawaziri nchini Ujerumani limeidhinisha msaada kwa Ufaransa katika vita dhidi ya wanamgambo wa Islamic State

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani