JUKWAA HURU LA WAZALENDO LATOA TAMKO KUHUSU RAIS DK. MAGUFULI NA WABUNGE
![](http://2.bp.blogspot.com/-IEShvcQsRxI/VlWKiedUuPI/AAAAAAAA1S8/_JUfl1WZS70/s72-c/1.jpg)
Baada ya Rais Dk. John Magufuli kuonyesha dhamira yake ya thati kutaka kuliinua taifa la Tanzania kutoka katika lindi la umasikini katika nyanja mbalimbali, kwa kupunguza gharama zisizo za lazima ikiwemo fedha zinazoangamia katika posho, sherehe na safari za nje, Leo Jukwaa Huru la Wazalendo limejitokeza kumuunga mkono kwa kutoa tamko zito. Pichani, Mwenyekiti wa Jukwaa hilo, Ally Salum Hapi akizungumza na Waandishi wa habari leo katika hoteli ya Travertine, Magomeni jijini Dar es Salaam...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Ws75Ful0n-k/VlWHWW751vI/AAAAAAAArzg/qB8yp9k-Gl4/s72-c/IMG-20151125-WA0022.jpg)
TAMKO LA JUKWAA HURU LA WAZALENDO KUUNGA MKONO HOTUBA YA MAGUFULI
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ws75Ful0n-k/VlWHWW751vI/AAAAAAAArzg/qB8yp9k-Gl4/s640/IMG-20151125-WA0022.jpg)
Ndugu wanahabari,
Mbele yenu sisi tuliowaita hapa ni Jukwaa Huru la Wazalendo ambalo limeitisha mkutano huu ili kufikisha yale tuliyoyakusudia kuwaeleza umma wa watanzania.
Sote tunatambua kuwa nchi yetu imetoka katika uchaguzi mkuu ambao umetupatia viongozi wapya wa awamu ya tano ya...
5 years ago
MichuziJUKWAA LA WALIMU WAZALENDO TANZANIA WAFURAHISHWA NA KASI YA UKUAJI WA MAENDELEO NCHINI CHINI YA RAIS DK.MAGUFULI
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Mchakato wa Katiba
11 years ago
MichuziTAMKO LA JUKWAA KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA LINALOANZA DODOMA AGOSTI 5, 2014
9 years ago
StarTV26 Nov
Jukwaa la Wazalendo lawahimiza wananchi kuiunga mkono Hotuba Ya Rais
Jukwaa huru la Wazalendo limetangaza kuunga mkonon hotuba ya Rais wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli aliyoitoa Novemba 19 katika ufunguzi wa Bunge la kumi na moja Mjini Dodoma.
Katika ufunguzi wa Bunge hilo Rais Magufuli ,alitangaza mpango mkakati wa Serikali wa kubana matumizi ikiwemo kupunguza safari za nje ya nchi za maofisa wa Serikali pamoja na kuondoa matumizi ya fedha yasiyo yalazima.
Hotuba ya Kwanza Rais Magufuli kuitoa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu...
10 years ago
Zitto Kabwe, MB20 May
Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014
Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014
1) Taarifa nyingine ya CAG imetoka, kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kwa mujibu wa sheria za nchi. Taarifa hii imechelewa kutolewa kulingana na mabadiliko ya Ratiba za Bunge ambapo hapo awali taarifa ilikuwa ikitoka mwezi Aprili na kuwezesha kuchangia katika mchakato wa Bajeti ya nchi. Taarifa ya mwaka huu na ile ya mwaka Jana imetoka wakati wa Bunge la Bajeti na hivyo Bajeti ya Serikali...
11 years ago
Dewji Blog27 Jul
Tamko la jukwaa la Katiba kuhusu Bunge Maalum la Katiba linaloanza Dodoma Agosti 5, 2014
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Deus Kibamba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko kuhusu Bunge la Katiba litakaloanza Agosti 5, 2014 ambapo walishauri Bunge hilo likae wiki mbili badala ya miezi miwili kama ilivyopangwa ili kupunguza matumizi makubwa ya fedha za Umma. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa Kamati na Uongozi Jukata Omar Ali Omar, Meneja Habari na Mawasiliano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Kenny...
9 years ago
MichuziNEC YATAOA TAMKO KUHUSU UCHAGUZI WA WABUNGE ARUSHA MJINI NA HANDENI.
9 years ago
Dewji Blog30 Oct
Rais Kikwete ampongeza Rais Mteule Dkt. John Pombe Magufuli, Mama Anna Mghwira wa ACT Wazalendo atuma salamu za pongezi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jana jioni Oktoba 29, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsomea sms za pongezi kutoka kila...