Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanazuoni wa Kiislamu wajibu hoja ya maaskofu

Dar es Salaam. Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania imejibu hoja zilizotolewa wiki iliyopita na Jukwaa la Wakristo nchini kuhusu Katiba Inayopendekezwa, Mahakama ya Kadhi na hali ya usalama na amani ya nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wanazuoni wa Kiislamu wasisitiza uchaguzi wa amani

UMOJA wa Wanawazuoni wa Kiislamu Tanzania (Hay-Atul Ulamaa), umesema ili kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao unamalizika kwa amani na usalama, wadau wa mchakato huo wanapaswa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia njia za amani kutatua migogoro itakayojitokeza.

 

11 years ago

Mwananchi

Jumuiya ya Kiislamu yaungana na maaskofu kumtetea Warioba

Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania imeungana na maaskofu mbalimbali kuwataka wajumbe wa Bunge la Katiba kuheshimu Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa kwa mujibu wa sheria na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Michuzi

JAMUHURI YA KIISLAMU YA IRAN INA WAJIBU WA KUENDELEA KUIUNGA MKONO ZANZIBAR.

Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran ina wajibu  wa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika harakati za maendeleo kutokana na Historia ndefu iliyopo ya mwingiliano wa kibiashara baina ya baadhi ya Wananchi wa pande hizo mbili.
Gavana  Mkuu wa Jimbo la Sistan na Balachestan Nchini Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran Bwana  Ali Osat Hashemi akiuongoza Ujumbe wa Viongozi saba wa Jimbo hilo alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini...

 

10 years ago

Mwananchi

Mawaziri wajibu hoja kwa vijembe

Tambo, kejeli, vijembe na kampeni vilitawala bungeni mjini hapa jana wakati mawaziri wakijibu hoja za wabunge wa upinzani waliokosoa Hotuba ya Makadirio na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2015/16.

 

11 years ago

Habarileo

Mangula asubiri Ukawa wajibu hoja za kuhongwa mabilioni

Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Phillip MangulaMAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Phillip Mangula, amesema vyama vinavyounda Umoja wa Katiba Tanzania (Ukawa), vinasubiriwa kujibu tuhuma zinazokabili umoja huo, za kuhongwa mabilioni ya Shilingi, ili wasihudhurie katika Bunge Maalumu la Katiba, linalotarajiwa kuanza mwanzoni mwa Agosti mwaka huu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanazuoni wataka tume huru uchaguzi

WASOMI kutoka vyuo vikuu nchini, wamesema wanataka  mfumo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uwe huru. Rai hiyo waliitoa jijini Dar es Salaam jana, wakati wa kongamano la ushiriki...

 

10 years ago

Habarileo

Wanazuoni Dodoma waja juu suala la Escrow

UMOJA wa wanazuoni wa Vyuo Vikuu Dodoma umeunga mkono kauli ya jumuiya ya wanazuoni vijana wa Tanzania ya kuponda ripoti ya kamati ya kudumu ya hesabu za serikali (PAC) na wamemwomba Rais Jakaya Kikwete asitekeleze maazimio hayo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanazuoni wajadili mustakabali wa Tanzania demokrasia ya vyama vingi

IMG_4861

Jaji Francis Mtungi akifunguja mkutano wa wadau wa siasa  wa uimatishaji demokrasia ya vyama vingi

Jaji Francis Mtungi akifungua mkutano wa wadau wa siasa wa uimarishaji demokrasia ya vyama vingi.

Na Modewji Blog team

Dk. Benson Bana wa Chuo Kikuu cha Dare s salaam ambaye amebobea katika masuala ya siasa amewataka wadau wa siasa na wananchi kwa ujumla kuzuia uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu kwa kufuata Sheria na kutobeza mamlaka.

Dk Bana alisema hayo jana akijibu swali la msimamizi wa mdahalo wenye lengo la kuimarisha demokrasia ya vyama vingi ulioandaliwa na Msajili wa Vyama...

 

10 years ago

Michuzi

WANAZUONI WA KIISLAAM WATAKA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU

 Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.Umoja wa Wanazuoni wa Kiislaam nchini umetaka kuwepo kwa amani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Mwenyekiti wa Umoja huo , Mwenyekiti wa Kamati ya Usuluhishi,Suleiman Kilemile amesema nchi nyingi zimeingia katika machafuko kutokana na uchaguzi hivyo nchi yetu isiingie huku.
Amesema kauli za viongozi  wa siasa za hivi karibu katika michakato ya kuelekea uchaguzi zinaweza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani