Wanazuoni Dodoma waja juu suala la Escrow
UMOJA wa wanazuoni wa Vyuo Vikuu Dodoma umeunga mkono kauli ya jumuiya ya wanazuoni vijana wa Tanzania ya kuponda ripoti ya kamati ya kudumu ya hesabu za serikali (PAC) na wamemwomba Rais Jakaya Kikwete asitekeleze maazimio hayo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TwJ7N0njOcE/VX3bvGNRceI/AAAAAAAHfX0/-EjfuASaM4g/s72-c/unnamed%2B%252850%2529.jpg)
Wanazuoni wakutana kujadili suala la 'Msimamo Mkali katika Dini' Maana, Matukio, Sababu na Suluhisho
![](http://1.bp.blogspot.com/-TwJ7N0njOcE/VX3bvGNRceI/AAAAAAAHfX0/-EjfuASaM4g/s640/unnamed%2B%252850%2529.jpg)
10 years ago
Habarileo17 Dec
ESCROW: Wanazuoni waukubali ukweli kuhusu Prof Tibaijuka
WANAZUONI, wanasiasa na wananchi wamepongeza ufafanuzi wa Bodi ya Wadhamini ya Joha Trust kuhusu mchango wa Sh bilioni 1.617 kutoka kwa Mmiliki wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited, James Rugemalira kwa shule za Joha.
10 years ago
Mtanzania18 May
Raza aibukia suala la Escrow
Na Patricia Kimelemeta
MJUMBE wa Baraza la Wawakilishi na Mbunge wa Uzini, Zanzibar, Mohamed Raza, amesema ataishauri Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUKI), kuwaandikia barua wahisani ili kuwaeleza namna sakata la Tegeta Escrow lisivyowahusu Wazanzibari.
Alisema amefikia uamuzi huo ili kushawishi wahisani waendelee kutoa misaada yao kama kawaida.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Raza alisema sakata hilo limewaathiri wananchi wa Zanzibar kutokana na...
10 years ago
Habarileo02 Mar
Wafagilia Tume ya Maadili suala la Escrow
VIONGOZI wa asasi wa kiraia nchini wameelewa kuridhishwa na jinsi Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma ilivyosimamia na kuendesha mashauri yake kwa uwazi dhidi ya watuhumiwa wa kujipatia fedha kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow.
11 years ago
BBCSwahili18 Dec
Wapinzani Ukraine waja juu
10 years ago
Mtanzania28 Jan
Masheikh waja juu Mahakama ya Kadhi
Na WAANDISHI WETU
VIONGOZI wa dini ya Kiislamu wamepinga tamko lililotolewa na Jukwaa la Wakristo kuhusu sheria hiyo ya kuanzishwa Mahakama ya Kadhi na kudai kuwa matamko ya aina hiyo yanaweza kusababisha machafuko nchini.
Kauli hiyo zimekuja siku moja baada ya Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) kutoa waraka, likipinga muswada unaopendekeza kuanzishwa Mahakama ya Kadhi unaotarajiwa kuwasilishwa bungeni wakati wowote.
Akizungumza na MTANZANIA Imamu wa Msikiti wa Idrisa uliopo Kariakoo, jijini...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Mawakili kesi ya Mwale waja juu
MAWAKILI wa utetezi kwenye shauri la utakatishaji fedha linalowakabili washitakiwa wanne akiwemo wakili maarufu, jijini hapa, Median Mwale, wameibua hoja juu ya uhalali wa kutumika kwa sheria ya kuzuia utakatishaji...
11 years ago
Mwananchi16 May
Wabunge waja juu, wahoji uuzwaji wa hisa UDA