Wafagilia Tume ya Maadili suala la Escrow
VIONGOZI wa asasi wa kiraia nchini wameelewa kuridhishwa na jinsi Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma ilivyosimamia na kuendesha mashauri yake kwa uwazi dhidi ya watuhumiwa wa kujipatia fedha kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pUv0rT5h6PL4B51ylcyH2l1OGlnZAEZPGWM2mYUudA6j52D4aeZAmst8dV0JuOKDsID6lsZcNTSTP7lJtA1U*n2bOI9Ffa5Q/IMG_0036.jpg)
SAKATA LA ESCROW: OFISA WA IKULU AHOJIWA NA TUME YA MAADILI
10 years ago
Mtanzania18 May
Raza aibukia suala la Escrow
Na Patricia Kimelemeta
MJUMBE wa Baraza la Wawakilishi na Mbunge wa Uzini, Zanzibar, Mohamed Raza, amesema ataishauri Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUKI), kuwaandikia barua wahisani ili kuwaeleza namna sakata la Tegeta Escrow lisivyowahusu Wazanzibari.
Alisema amefikia uamuzi huo ili kushawishi wahisani waendelee kutoa misaada yao kama kawaida.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Raza alisema sakata hilo limewaathiri wananchi wa Zanzibar kutokana na...
10 years ago
Habarileo15 Dec
Wanazuoni Dodoma waja juu suala la Escrow
UMOJA wa wanazuoni wa Vyuo Vikuu Dodoma umeunga mkono kauli ya jumuiya ya wanazuoni vijana wa Tanzania ya kuponda ripoti ya kamati ya kudumu ya hesabu za serikali (PAC) na wamemwomba Rais Jakaya Kikwete asitekeleze maazimio hayo.
10 years ago
Habarileo16 Oct
DC akaangwa Tume ya Maadili
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, Anna Mwalende ameanika mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma ushahidi wake dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gamba na kueleza namna alivyodhalilishwa na kunyanyaswa pamoja na viongozi wengine.
10 years ago
Mwananchi06 Dec
‘Tutamfikisha DC tume ya maadili’
10 years ago
GPLCHENGE AKATA RUFAA TUME YA MAADILI
10 years ago
GPLTUME YA MAADILI YAMHOJI MEYA MANISPA YA TABORA
10 years ago
StarTV30 Mar
LHRC yakosoa sheria ya uanzishwaji tume ya maadili ya watumishi umma.
Na Neema Ndetto,
Dar es Salaam,
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC kimekosoa sheria ya uanzishwaji wa Tume ya Maadili kwa Watumishi kwa madai kuwa imelenga kuwalinda watumishi wanaoendelea kufuja mali za umma.
Kimewataka watanzania kuvisoma kwa umakini vifungu vya Katiba inayopendekezwa vinavyozungumzia uwajibikaji ili waweze kuvitumia kuwawajibisha viongozi wao.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimebainisha hayo jijini Dar es Salaam wakati kikizungumzia mwenendo na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
SAKATA LA ESCROW: ANDREW CHENGE AMEKATAA KUHOJIWA NA BARAZA LA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA