TUME YA MAADILI YAMHOJI MEYA MANISPA YA TABORA
Mstahiki Meya wa Kanda ya Magharibi ,Tabora Mh.Gulan Hussein Dewji akiapishwa kabla ya mahojiano na Tume ya Maadili.  ....mstahiki meya akifafanua jambo wakati wa utetezi wake.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-aRBAqqtNkqI/VP8mi39Hi8I/AAAAAAAHJYc/_fIg2FnR6TE/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Meya wa Halmashauri ya Tabora, Gulam Dewji akijitetea mbele ya Baraza la Maadili jijini Dar es Salaam leo.
![](http://3.bp.blogspot.com/-aRBAqqtNkqI/VP8mi39Hi8I/AAAAAAAHJYc/_fIg2FnR6TE/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZNKmWsiLzT4/VP8mi0LaBWI/AAAAAAAHJYo/5n5zLyMWGT8/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-DwUF6WbQC48/VP8mjI08Z5I/AAAAAAAHJYg/c8uZ6hFbj_0/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
10 years ago
StarTV04 Mar
Sekretarieti ya Maadili yamhoji William Ngeleja.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es Salaam.
Baraza la Tume ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma limempandisha kizimbani Mbunge wa Sengerema William Ngeleja akiwa miongoni mwa viongozi wanaodaiwa kuhusika na kashfa ya uchotwaji wa fedha kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
Ngeleja anafikisha idadi ya viongozi wanne waliokwishahojiwa na tume hiyo baada ya majina yao kupendekezaw na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali PAC ambapo katika hati ya mashtaka anadaiwa kupokea zaidi ya shilingi...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QB92lHOemks/VEE5GsmynEI/AAAAAAAGrXE/ctNWe4TMmEg/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Meya Manispaa ya Tabora apandishwa kizimbani Baraza la Maadili kwa matumizi mabaya ya madaraka na kutoa Tamko la uongo la mali zake.
10 years ago
Habarileo16 Oct
DC akaangwa Tume ya Maadili
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, Anna Mwalende ameanika mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma ushahidi wake dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gamba na kueleza namna alivyodhalilishwa na kunyanyaswa pamoja na viongozi wengine.
10 years ago
Mwananchi06 Dec
‘Tutamfikisha DC tume ya maadili’
10 years ago
Habarileo02 Mar
Wafagilia Tume ya Maadili suala la Escrow
VIONGOZI wa asasi wa kiraia nchini wameelewa kuridhishwa na jinsi Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma ilivyosimamia na kuendesha mashauri yake kwa uwazi dhidi ya watuhumiwa wa kujipatia fedha kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow.
10 years ago
GPLCHENGE AKATA RUFAA TUME YA MAADILI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pUv0rT5h6PL4B51ylcyH2l1OGlnZAEZPGWM2mYUudA6j52D4aeZAmst8dV0JuOKDsID6lsZcNTSTP7lJtA1U*n2bOI9Ffa5Q/IMG_0036.jpg)
SAKATA LA ESCROW: OFISA WA IKULU AHOJIWA NA TUME YA MAADILI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-us5MelaC8Lk/VDwrCg8AUKI/AAAAAAAGp9s/3TvtXdGzIFA/s72-c/unnamed.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora wapandishwa kizimbani Baraza la Maadili.
![](http://4.bp.blogspot.com/-us5MelaC8Lk/VDwrCg8AUKI/AAAAAAAGp9s/3TvtXdGzIFA/s1600/unnamed.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Mashaka Gambo leo amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili ili kujibu tuhuma...