Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanazuoni wataka tume huru uchaguzi

WASOMI kutoka vyuo vikuu nchini, wamesema wanataka  mfumo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uwe huru. Rai hiyo waliitoa jijini Dar es Salaam jana, wakati wa kongamano la ushiriki...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANAZUONI WA KIISLAAM WATAKA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU

 Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.Umoja wa Wanazuoni wa Kiislaam nchini umetaka kuwepo kwa amani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Mwenyekiti wa Umoja huo , Mwenyekiti wa Kamati ya Usuluhishi,Suleiman Kilemile amesema nchi nyingi zimeingia katika machafuko kutokana na uchaguzi hivyo nchi yetu isiingie huku.
Amesema kauli za viongozi  wa siasa za hivi karibu katika michakato ya kuelekea uchaguzi zinaweza...

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi waiponda PAC, wataka Tume huru

WAKATI Ikulu ikitoa taarifa na kusema kuwa Rais Jakaya Kikwete atafanya maamuzi juu ya sakata la akaunti ya Escrow kuhusu maazimio ya Bunge, Jumuiya ya Wanazuoni wameibuka na kuponda maazimio ya Bunge yaliyotokana na Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).

 

10 years ago

Mwananchi

Tulitarajia nini bila tume huru ya uchaguzi?

Kwa muda mrefu sasa, tumekuwa tukionya kuhusu udanganyifu katika chaguzi mbalimbali zinazofanyika katika nchi yetu na kusema hiyo hasa ndiyo sababu inayowakwaza wananchi wengi kiasi cha kutojitokeza kupiga kura.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuundwa Tume Huru ya Uchaguzi kunasubiri kuwapo machafuko?

Kama kuna jambo ambalo limewafanya wananchi wengi kukuna vichwa kwa muda mrefu pasipo kupata majibu, ni kutoundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi kusimamia chaguzi mbalimbali na mchakato wa kupata Katiba Mpya katika ngazi zote zilizosalia, baada ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kumaliza kazi yake rasmi wiki ijayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Sasa kazi ni moja tu, kudai Tume Huru ya Uchaguzi ili haki itendeke

Tunapouanza mwaka 2015 tujue kwamba huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu kwa wabunge, madiwani pamoja na rais.

 

10 years ago

Habarileo

Wanazuoni wa Kiislamu wasisitiza uchaguzi wa amani

UMOJA wa Wanawazuoni wa Kiislamu Tanzania (Hay-Atul Ulamaa), umesema ili kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao unamalizika kwa amani na usalama, wadau wa mchakato huo wanapaswa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia njia za amani kutatua migogoro itakayojitokeza.

 

10 years ago

Habarileo

Walemavu wataka chombo huru

Mwenyekiti wa SHIVYAWATA, Amon MpanjuWATU wenye ulemavu nchini wamepongeza juhudi za Serikali katika utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Haki Watu wenye ulemavu wa mwaka 2009, na kutaka changamoto zilizobaki ziundiwe chombo huru chenye mamlaka kuratibu masuala ya watu hao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

DSC_0733

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.

DSC_0737

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc 

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Thursday, October 1, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi […]

The post CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani