Wanazuoni wa Kiislamu wasisitiza uchaguzi wa amani
UMOJA wa Wanawazuoni wa Kiislamu Tanzania (Hay-Atul Ulamaa), umesema ili kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao unamalizika kwa amani na usalama, wadau wa mchakato huo wanapaswa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia njia za amani kutatua migogoro itakayojitokeza.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWANAZUONI WA KIISLAAM WATAKA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Mwenyekiti wa Umoja huo , Mwenyekiti wa Kamati ya Usuluhishi,Suleiman Kilemile amesema nchi nyingi zimeingia katika machafuko kutokana na uchaguzi hivyo nchi yetu isiingie huku.
Amesema kauli za viongozi wa siasa za hivi karibu katika michakato ya kuelekea uchaguzi zinaweza...
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Wanazuoni wa Kiislamu wajibu hoja ya maaskofu
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Masheikh wasisitiza umoja, amani
10 years ago
Habarileo07 Nov
Shirikisho wenye ulemavu wasisitiza amani, upendo
WATANZANIA wametakiwa kuendeleza amani na mashikamano uliopo kwa maslahi ya kizazi cha sasa na kijacho kwa kuenzi misingi ya amani na uzalendo iliyojengwa na waasisi wa taifa.
9 years ago
Habarileo19 Oct
Wagombea urais wanne wasisitiza amani, umoja
WAGOMBEA wanne wa urais wamesisitiza amani na umoja wa Tanzania, huku wakielezea kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa chanzo cha kuibuka kwa viashiria vya ubaguzi wa kidini, ukanda na ukabila.
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Wanazuoni wataka tume huru uchaguzi
WASOMI kutoka vyuo vikuu nchini, wamesema wanataka mfumo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uwe huru. Rai hiyo waliitoa jijini Dar es Salaam jana, wakati wa kongamano la ushiriki...
9 years ago
StarTV01 Oct
Waangalizi wa kimataifa Wasisitiza ujio wao utazingatia kanuni za uchaguzi
Zaidi ya waangalizi wa muda mrefu 34 wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya wamesambazwa nchi nzima kuangalia mwenendo mzima wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu.
Akizindua ujumbe huo ulioanza kuwasili nchini Septemba 11,Mwangalizi Mkuu na Mbunge wa Bunge la Uholanzi , Judith Sargentini amesema wanatarajia kuangalia mwenendo mzima wa uchaguzi kuanzia sasa kampeni zinavyoendelea.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Sargentini amesema waangalizi hao ambao...
9 years ago
Mtanzania07 Jan
Jumuiya za Kiislamu Zanzibar zapinga kurudiwa uchaguzi
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
JUMUIYA ya Maimamu Zanzibar (JUMAZA) pamoja na Taasisi za Kiislam Zanzibar zimepinga kurudiwa kwa uchaguzi visiwani humo, kwa hoja kwamba hazioni busara yoyote ya kurejewa kwa Uchaguzi Mkuu Zanzibar kwa sababu ule wa awali ulifanyika kwa ufanisi na kukamilika vizuri.
Katika waraka wao walioutoa kwa vyombo vya habari jana, viongozi hao wa dini, walisema wanashangazwa na hatua ya kufuta uchaguzi huo iliyochukuliwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC),...
9 years ago
MichuziWADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...