Jumuiya za Kiislamu Zanzibar zapinga kurudiwa uchaguzi
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
JUMUIYA ya Maimamu Zanzibar (JUMAZA) pamoja na Taasisi za Kiislam Zanzibar zimepinga kurudiwa kwa uchaguzi visiwani humo, kwa hoja kwamba hazioni busara yoyote ya kurejewa kwa Uchaguzi Mkuu Zanzibar kwa sababu ule wa awali ulifanyika kwa ufanisi na kukamilika vizuri.
Katika waraka wao walioutoa kwa vyombo vya habari jana, viongozi hao wa dini, walisema wanashangazwa na hatua ya kufuta uchaguzi huo iliyochukuliwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC),...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.
Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.
11 years ago
MichuziJUMUIYA YA KIISLAMU YA MUZDALIFAT WATOA SADAKA YA RAMADHANI ZANZIBAR
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
Uchaguzi wa urais kurudiwa Argentina
9 years ago
Habarileo29 Oct
Uchaguzi Z’bar wafutwa, kurudiwa
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza kufuta matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita baada ya kubainika kujitokeza kwa kasoro nyingi, zilizosababisha kukiukwa kwa sheria za uchaguzi na haki kushindwa kutendeka.
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Jumuiya ya Kiislamu yaungana na maaskofu kumtetea Warioba
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.
10 years ago
MichuziMke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar mgeni rasmi kwenye hafla ya kuwaaga wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro
Mama Asha Suleiman Iddi alisema hayo wakati wa hafla maalum ya kuagana kwa wana jumuiya ya wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro wa ZAMUMSA ambao wanatarajiwa kumaliza mafunzo yao mwezi Novemba mwaka huu...
10 years ago
Habarileo04 Aug
Wanazuoni wa Kiislamu wasisitiza uchaguzi wa amani
UMOJA wa Wanawazuoni wa Kiislamu Tanzania (Hay-Atul Ulamaa), umesema ili kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao unamalizika kwa amani na usalama, wadau wa mchakato huo wanapaswa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia njia za amani kutatua migogoro itakayojitokeza.
10 years ago
MichuziJAMUHURI YA KIISLAMU YA IRAN INA WAJIBU WA KUENDELEA KUIUNGA MKONO ZANZIBAR.
Gavana Mkuu wa Jimbo la Sistan na Balachestan Nchini Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran Bwana Ali Osat Hashemi akiuongoza Ujumbe wa Viongozi saba wa Jimbo hilo alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini...