Uchaguzi wa urais kurudiwa Argentina
Mgombea kiti cha urais Argentina,Daniel Scioli,ameshinda raundi ya kwanza ya uchaguzi ila atapambana na Mauricio Macri katika raundi ya pili tarehe 22 mwezi ujao
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.
Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.
9 years ago
Habarileo29 Oct
Uchaguzi Z’bar wafutwa, kurudiwa
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza kufuta matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita baada ya kubainika kujitokeza kwa kasoro nyingi, zilizosababisha kukiukwa kwa sheria za uchaguzi na haki kushindwa kutendeka.
9 years ago
Mtanzania07 Jan
Jumuiya za Kiislamu Zanzibar zapinga kurudiwa uchaguzi
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
JUMUIYA ya Maimamu Zanzibar (JUMAZA) pamoja na Taasisi za Kiislam Zanzibar zimepinga kurudiwa kwa uchaguzi visiwani humo, kwa hoja kwamba hazioni busara yoyote ya kurejewa kwa Uchaguzi Mkuu Zanzibar kwa sababu ule wa awali ulifanyika kwa ufanisi na kukamilika vizuri.
Katika waraka wao walioutoa kwa vyombo vya habari jana, viongozi hao wa dini, walisema wanashangazwa na hatua ya kufuta uchaguzi huo iliyochukuliwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC),...
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Upinzani washinda uchaguzi Argentina
11 years ago
Bongo510 Jul
Argentina yailaza Uholanzi 4-2, fainali Argentina na Ujerumani july 13
5 years ago
BBCSwahili26 May
Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-IsjuYXA4MIg/Vfidy64cnfI/AAAAAAAD7oU/IhQ-etKR-KI/s72-c/Trump.jpg)
MJUE MGOMBEA WA KITI CHA URAIS WA MAREKANI NA NINI TUNACHOWEZA KUJIFUNZA KATIKA UCHAGUZI WA URAIS NCHINI TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-IsjuYXA4MIg/Vfidy64cnfI/AAAAAAAD7oU/IhQ-etKR-KI/s640/Trump.jpg)
Na Mwandishi Maalum
Wakati mdahalo wa pili wa wagombea wa chama cha Republican unasubiriwa kwa hamu usiku wa Jumatano tarehe 16 Septemba, ni vyema kuandika machache kuhusu mgombea Donald Trump ambaye anaendelea kuongoza kura za maoni katika kundi kubwa la wagombea wa chama cha Republican kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kuingia Ikulu ya Marekani mwishoni mwa mwaka kesho. Katika kuchambua harakati za Bwana Trump za kuusaka uongozi wa juu wa taifa la Marekani pia tumejaribu...
9 years ago
VijimamboMgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila Arejesha fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC.