Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUMUIYA YA KIISLAMU YA MUZDALIFAT WATOA SADAKA YA RAMADHANI ZANZIBAR

Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Taasisi ya WEFA kutoka Ujarumani wakitoa Sadaka ya Unga, Mchele, Sukari, na Mafuta ya kupikia kwa watu mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika kijiji cha Kilimani Tazari Mkoa wa Kaskani Unguja.Mmoja kati ya Wazee wa kijiji cha Kilimani Tazari akipokea Sadaka iliotolewa na Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Taasisi ya WEFA kutoka Ujarumani kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Zanzibar. Katibu Mtendaji wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA MUZDALIFAT NA TAASISI YA I,H,H YA UTURUKI WATOA SADAKA KWA WATOTO MAYATIMA ZANZIBAR.

 Wawakilishi wa Taasisi ya I,H,H,kutoka Uturuki wakigawa sadaka ya Unga,Mchele,Mafuta ya kupikia pamoja na Nyama kwa Watoto Yatima katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar.  Wachinjaji mbuzi kwa ajili ya Sadaka kwa Watoto mayatima wakichinjaji mbuzi huko Kisauni nje ya Mji wa Zanzibar.  Wawakilishi wa Taasisi ya I,H,H,kutoka Uturuki wakiendelea kugawa sadaka ya Vitu mbalimbali ikiwa pamoja na Unga wa Ngano,Mchele,Mafuta ya kupikia na Nyama kwa Watoto mayatima walio katika maeneo mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA KUKUSANYA ZAKA NA SADAKA ZANZIBAR (JUZASA) YAFANYA MKUTANO MKUU WAKE.


UD1Mwenyekiti wa Jumuiya ya kukusanya Zaka na Sadaka Zanzibar (JUZASA) Shekh. Said Masoud (Gwiji) akitoa maelezo ya Jumuiya na kumkaribisha mgeni rasmi (kushoto) Katibu Mtendaji Kamisheni ya Wakfu na Mali ya amana Zanzibar Shekh. Abdalla Talib kufungua Mkutano wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi Sha-Ntimba Mombasa Zanzibar.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanziba UD2Baadhi ya wanachama wa Jumuiya na wageni walikwa wakisikiliza nasaha za Mwenyekiti wa Jumuiya ya kukusanya Zaka na Sadaka...

 

9 years ago

Mtanzania

Jumuiya za Kiislamu Zanzibar zapinga kurudiwa uchaguzi

jechaNa Mwandishi Wetu, Zanzibar

JUMUIYA ya Maimamu Zanzibar (JUMAZA) pamoja na Taasisi za Kiislam Zanzibar zimepinga kurudiwa kwa uchaguzi visiwani humo, kwa hoja kwamba hazioni busara yoyote ya kurejewa kwa Uchaguzi Mkuu Zanzibar kwa sababu ule wa awali ulifanyika kwa ufanisi na kukamilika vizuri.

Katika waraka wao walioutoa kwa vyombo vya habari jana, viongozi hao wa dini, walisema wanashangazwa na hatua ya kufuta uchaguzi huo iliyochukuliwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC),...

 

11 years ago

Michuzi

Jumuiya ya Waislam waJumba nambari 8 ngazi ya nne Michenzani Zanzibar waftarisha Ramadhani 27

Ikiwa kama ada endelevu kila ifikapo mwezi 27 wa mfungo mtukufu wa ramadhani Siku ya Ijumaa July 25, 2014 Jumuiya ya Waislam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kama ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar waliweza kuftari na waislamu wenzao wa maeneo mbali mbali wa karibu na wakiwemo wakaazi wa Mwembetanga, vikokotoni, pamoja na waMichezani.Waumini wa kiislamu wakipata iftar iliyoandaliwa na wakaazi wa jumba nambari 8 ngazi ya nne Michenzani ZanzibarPichani: Maalim Abuu, sheikh Ali...

 

9 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WAZEE WASTAAFU, WAKULIMA NA WAFANYAKAZI ZANZIBAR WATOA TAMKO JUU YA HALI ILIOPO VISIWAMI

Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazee wastaafu, Wakulima na Wafanyakazi  Zanzibar Mzee Ali Hassan Khamis akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hali ya nchi ilivyo sasa na kuwataka wananchi kusikiliza maelekezo yatakayotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Picha na Makame/Maelezo Zanzibar.NA RAMADHANI ALI /MAELEZO ZANZIBAR Jumuia ya Wazee wastaafu, Wakulima na Wafanyakazi  Zanzibar imewashauri wananchi  kuwa watulivu wakati huu na kusikiliza maelekezo yatakayotolewa na Tume...

 

11 years ago

Mwananchi

Jumuiya ya Kiislamu yaungana na maaskofu kumtetea Warioba

Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania imeungana na maaskofu mbalimbali kuwataka wajumbe wa Bunge la Katiba kuheshimu Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa kwa mujibu wa sheria na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Ramadhani aota medali Jumuiya ya Madola

Serengeti. Mshindi wa medali ya dhahabu katika Michezo ya Jumuiya ya Madola ya 2006 kwenye Marathoni (km 42), Samson Ramadhan ameweka wazi nia yake ya kutetea medali yake kwenye michezo ya msimu huu.

 

10 years ago

Michuzi

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar mgeni rasmi kwenye hafla ya kuwaaga wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi alisema kwamba utitiri wa vyuo vikuu bila ya ubora wa elimu inayotolewa ni jambo linalopelekea vyuo hivyo kutoa vijana wasiouzika kiajira katika taasisi mbali mbali za umma na hata zile za binafsi.
Mama Asha Suleiman Iddi alisema hayo wakati wa hafla maalum ya kuagana kwa wana jumuiya ya wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro wa ZAMUMSA ambao wanatarajiwa kumaliza mafunzo yao mwezi Novemba mwaka huu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani