Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUMUIYA YA KUKUSANYA ZAKA NA SADAKA ZANZIBAR (JUZASA) YAFANYA MKUTANO MKUU WAKE.


UD1Mwenyekiti wa Jumuiya ya kukusanya Zaka na Sadaka Zanzibar (JUZASA) Shekh. Said Masoud (Gwiji) akitoa maelezo ya Jumuiya na kumkaribisha mgeni rasmi (kushoto) Katibu Mtendaji Kamisheni ya Wakfu na Mali ya amana Zanzibar Shekh. Abdalla Talib kufungua Mkutano wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi Sha-Ntimba Mombasa Zanzibar.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanziba UD2Baadhi ya wanachama wa Jumuiya na wageni walikwa wakisikiliza nasaha za Mwenyekiti wa Jumuiya ya kukusanya Zaka na Sadaka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Ligi Tanzania yafanya mkutano wake mkuu wa mwaka

MKUTANO Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), pamoja na klabu za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza, uliofanyika Februali 28, mwaka huu,  umejadili mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja msimu ujao wa Ligi Daraja la kwanza kupata udhamini.
 Kaimu Mtendaji wa Bodi hiyo Fatma Shibo, alisema kuwa katika mkutano huo, kulijadiliwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na utendaji wa bodi hiyo.
Alisema kuwa moja ya vitu vilivyojadiliwa ni vurugu za zinazotokea viwanjani, maoni ya klabu kuhusu viwanja...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA 19 WA WANAHISA WAKE JIJINI ARUSHA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari.  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa Mkutano huo.
 Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo  akizungumza wakati wa mkutano wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA KIISLAMU YA MUZDALIFAT WATOA SADAKA YA RAMADHANI ZANZIBAR

Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Taasisi ya WEFA kutoka Ujarumani wakitoa Sadaka ya Unga, Mchele, Sukari, na Mafuta ya kupikia kwa watu mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika kijiji cha Kilimani Tazari Mkoa wa Kaskani Unguja.Mmoja kati ya Wazee wa kijiji cha Kilimani Tazari akipokea Sadaka iliotolewa na Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Taasisi ya WEFA kutoka Ujarumani kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Zanzibar. Katibu Mtendaji wa...

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA MUZDALIFAT NA TAASISI YA I,H,H YA UTURUKI WATOA SADAKA KWA WATOTO MAYATIMA ZANZIBAR.

 Wawakilishi wa Taasisi ya I,H,H,kutoka Uturuki wakigawa sadaka ya Unga,Mchele,Mafuta ya kupikia pamoja na Nyama kwa Watoto Yatima katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar.  Wachinjaji mbuzi kwa ajili ya Sadaka kwa Watoto mayatima wakichinjaji mbuzi huko Kisauni nje ya Mji wa Zanzibar.  Wawakilishi wa Taasisi ya I,H,H,kutoka Uturuki wakiendelea kugawa sadaka ya Vitu mbalimbali ikiwa pamoja na Unga wa Ngano,Mchele,Mafuta ya kupikia na Nyama kwa Watoto mayatima walio katika maeneo mbalimbali...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAWEKEZAJI WA SEKTA YA UTALII ZANZIBAR (ZATI) WAFANYIKA MJINI UNGUJA

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma (Mabodi) akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI) katika Hoteli ya Double Tree by Hilton Shangani Mjini Zanzibar.Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI) Bi. Pamela Mattheuu (aliesimama) akielezea hali ya Utalii ilivyo kwa sasa na kupanga mikakati ya kuitangaza zaidi sekta hiyo, huko Hoteli ya Double Tree by Hilton Shangani Mjini Zanzibar.

 

9 years ago

Michuzi

KAMISHENI YA WACHEZAJI TANZANIA (KAWATA)YAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA KATIKA UKUMBI WA KITUO CHA UTENGAMANO WELEZO MJINI ZANZIBAR

Na Rahma Khamis /Miza Othman -Maelezo Zanzibar.
Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) wamewataka Viongozi wa Mashirika ya Vyama vya Michezo Tanzania kusaidiana na wanamichezo mbalimbali ili kufikia hadhi ya kimataifa .
Hayo yameelezwa na na Katibu mtendaji wa TOC Jamal Nassor Adi huko Kituo cha Utengamano Welezo Zanzibar wakati alipokua akifungua Mkutano  mkuu wa mwaka wa Kamisheni ya Wachezaji Tanzania . Amesema lengo kuu la mkutano huo ni kuhamasisha na kuamsha ari kwa Wachezaji ili kuweza...

 

10 years ago

Michuzi

UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA WALIOSOMA KOREA (KAAT) YAFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) akiwakaribisha viongozi wa KAAT walipokwenda kumtembelea na kufanya nae mazungumzo nyumbani kwake. Katikati ni Rais Mpya wa KAAT, Bw. Stephen Katemba na Kulia ni Bw. Bukheti Juma ambaye ni Makamu wa Rais, KAAT (Zanzibar). Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) akifurahia jambo na viongozi wa KAAT, Bw. Stephen Katemba (Katikati) na Bw. Bukheti Juma (Kulia). Viongozi hao walipokwenda kumtembelea na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani