Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi ya Ligi Tanzania yafanya mkutano wake mkuu wa mwaka

MKUTANO Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), pamoja na klabu za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza, uliofanyika Februali 28, mwaka huu,  umejadili mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja msimu ujao wa Ligi Daraja la kwanza kupata udhamini.
 Kaimu Mtendaji wa Bodi hiyo Fatma Shibo, alisema kuwa katika mkutano huo, kulijadiliwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na utendaji wa bodi hiyo.
Alisema kuwa moja ya vitu vilivyojadiliwa ni vurugu za zinazotokea viwanjani, maoni ya klabu kuhusu viwanja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KAMISHENI YA WACHEZAJI TANZANIA (KAWATA)YAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA KATIKA UKUMBI WA KITUO CHA UTENGAMANO WELEZO MJINI ZANZIBAR

Na Rahma Khamis /Miza Othman -Maelezo Zanzibar.
Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) wamewataka Viongozi wa Mashirika ya Vyama vya Michezo Tanzania kusaidiana na wanamichezo mbalimbali ili kufikia hadhi ya kimataifa .
Hayo yameelezwa na na Katibu mtendaji wa TOC Jamal Nassor Adi huko Kituo cha Utengamano Welezo Zanzibar wakati alipokua akifungua Mkutano  mkuu wa mwaka wa Kamisheni ya Wachezaji Tanzania . Amesema lengo kuu la mkutano huo ni kuhamasisha na kuamsha ari kwa Wachezaji ili kuweza...

 

10 years ago

Michuzi

AFYA SACOS YAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA.

 Mwenyekiti wa Afya Sacos Othman Mussa Juma akitoa hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Ushirika huo uliofanyika Ukumbi wa Ecrotanal Mjini Zanzibar. Wajumbe wa Mkutano huo walizimia kuongeza Akiba ya shilingi elfu 30 kutoka elfu 10 kwa mwezi ili kuzidi kujikwamua na Umaskini.  Mgeni Rasmi wa Mkutano huo ambaye ni Mkurugenzi wa Bohari kuu ya Madawa Zanzibar Zahran Ali Hamad akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Ushirika wa Afya Sacos. Katika Mkutano huo aliwaomba kuzidisha mashirikiano miongoni...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA 19 WA WANAHISA WAKE JIJINI ARUSHA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari.  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa Mkutano huo.
 Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo  akizungumza wakati wa mkutano wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Swala Energy yafanya tafrija na wadau baada ya mkutano mkuu wa mwaka AGM

A

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Swala Energy Ltd, David Ridge akizungumza na Wadau wa Swala wakati wa tafrija mchapalo(cocktail) iliyofanyika jijini Dar Es Salaam mwishoni mwa wiki, Tafrija hiyo ilifanyika baada ya mkutano mkuu wa mwaka wa kampuni hiyo AGM.

B

Katibu wa kampuni ya Swala Energy Ltd, Yohana Mganga (katikati) akiongea na meneja uendeshaji wa Swala Frank Whitehead (kushoto) na Meneja miradi mipya Neil Taylor wakati wa tafrija mchapalo (cocktail).

C

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni...

 

9 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA KUKUSANYA ZAKA NA SADAKA ZANZIBAR (JUZASA) YAFANYA MKUTANO MKUU WAKE.


UD1Mwenyekiti wa Jumuiya ya kukusanya Zaka na Sadaka Zanzibar (JUZASA) Shekh. Said Masoud (Gwiji) akitoa maelezo ya Jumuiya na kumkaribisha mgeni rasmi (kushoto) Katibu Mtendaji Kamisheni ya Wakfu na Mali ya amana Zanzibar Shekh. Abdalla Talib kufungua Mkutano wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi Sha-Ntimba Mombasa Zanzibar.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanziba UD2Baadhi ya wanachama wa Jumuiya na wageni walikwa wakisikiliza nasaha za Mwenyekiti wa Jumuiya ya kukusanya Zaka na Sadaka...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania mwenyeji wa Mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki


Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
 Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki (BOG) utakaofanyikia jijini Dar es salaam tarehe 22 mwezi huu.  Kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyotolewa jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (pichani)   na Rais wa Benki ya PTA kwa vyombo vya habari, mkutano huo utakuwa wa siku moja.  Taarifa hiyo imeeleza kuwa lengo la mkutano huo ni kujadili masuala mbalimbali ya kibenki ikiwemo...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAJAJI WA MAHAKAMA TANZANIA WAENDELEA KUFANYIKA JIJINI MWANZA

Mkutano Mkuu wa Majaji wa Mahakama ya Tanzania unafanyika kwa siku tatu (3) kuanzia tarehe 10 Novemba ,2014 hadi tarehe 12 Novemba,2014 katika Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza. 
Mkutano huo ulifunguliwa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Dr.Asha Rose Migiro kwa niaba ya Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kauli Mbiu ya Mkutano wa Mwaka huu ni "KUJITATHMINI KAMA NJIA BORA YA KUIBORESHA MAHAKAMA".Pamoja na mambo mengine Mkutano wa Mwaka huu Wah. Majaji wamepata nafasi ya kujadili mambo...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAFANYA MKUTANO ELEKEZI KWA WADAU WAKE JIJINI MWANZA

Baadhi ya wateja wakubwa wa benki ya NMB na wafanyabiashara jijini Mwanza wakimsikiliza meneja wa mahusiano wa biashara,Wogofya Mfalamagoha wakati wa mkutano elekezi kwa wateja wa benki hiyo uliofanyika katika Chuo cha Benki Kuu jijini Mwanza leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani