Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAJAJI WA MAHAKAMA TANZANIA WAENDELEA KUFANYIKA JIJINI MWANZA

Mkutano Mkuu wa Majaji wa Mahakama ya Tanzania unafanyika kwa siku tatu (3) kuanzia tarehe 10 Novemba ,2014 hadi tarehe 12 Novemba,2014 katika Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza. 
Mkutano huo ulifunguliwa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Dr.Asha Rose Migiro kwa niaba ya Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kauli Mbiu ya Mkutano wa Mwaka huu ni "KUJITATHMINI KAMA NJIA BORA YA KUIBORESHA MAHAKAMA".Pamoja na mambo mengine Mkutano wa Mwaka huu Wah. Majaji wamepata nafasi ya kujadili mambo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MIGIRO AFUNGUA RASMI MKUTANO WA MAJAJI WA MAHAKAMA YA TANZANIA KATIKA HOTELI YA MALAIKA JIJINI MWANZA

Mhe. Dkt. Asha Rose Migiro, WAZIRI wa Katiba na Sheria akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa Majaji katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza,Maudhui ya Mkutano huo ni kujitathmini Kama njia bora ya kuboresha Mahakama. Mhe. WAZIRI amefungua Mkutano huo kwa niaba ya Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akitoa Mada katika Mkutano wa Majaji unaofanyika mkoani Mwanza. Mhe. Jaji Sauda Mjasiri, Jaji wa Mahakama ya Rufani, (aliyeketi mbele, wa kwanza kushoto),...

 

9 years ago

Michuzi

Mkutano Mkuu wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki wafanyika jijini Mwanza

 Mhe. Jaji Lawrence Gidudu, Rais wa Chama cha Majaji wa Afrika Mashariki (EAMJA) (wa tatu kushoto) akiendesha Mkutano wa Waheshimiwa Majaji na Mahakimu wa Jumuiya hiyo, Mkutano huo unahitishwa leo baada ya wajumbe hao kukubaliana kwa pamoja kuoresha huduma ya utoaji haki kwa umma. Wengine ni Wajumbe wa Mkutano huo kutoka Tanzania, Kenya na Uganda Baadhi ya kundi la Washiriki wa Mkutano wakiwa katika mkutano huo mapema leo, Mkuano huo uanatarajiwa kumalizika leo Mhe. Robert Makaramba, Jaji...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO MKUU WA SABA WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE TANZANIA (TAWJA), WAFANYIKA JIJINI DAR

 Jaji Fredrick Wambali akitoa mada katika mkutano huo.  Wanachama wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), wakiwa kwenye mkutano wao mkuu uliofanyika Dar es Salaam jana. Mkutano huo ulihudhuriwa na wanachama kutoka mikoa yote.…

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA 15 WA MWAKA WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WA AFRIKA MASHARIKI


MKUTANO UTAHUDHURIWA NA MAJAJI NA MAHAKIMU KUTOKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,MHE. DR. JAKAYA MRISHO KIKWETENDIYE MGENI RASMI ATAKAYEFUNGUA MKUTANO HUO.

KAULIMBIU YA MKUTANO NI:

KUIMARISHA IMANI YA UMMA KWA MAHAKAMA

WAKATI WA MKUTANO KUTAKUWA NA MAONYESHO JUU YA HUDUMA MBALIMBALI ZINAZOTOLEWA NA MAHAKAMA YA TANZANIA. WOTE MNAKARIBISHWA

AIDHA MKUTANO HUO UTAFUATIWA NA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WA TANZANIA(JMAT) UTAKAOFANYIKA TAREHE 29 AGOSTI...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki jijini Mwanza

 Rais Kikwete akifungua Mkutano  wa siku tatu wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki unaofanyika katika Hoteli ya Malaika Beach Resort jijini Mwanza leo Seehemu ya washiriki wa Mkutano huo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  washiriki wa mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki jijini Mwanza leo. Picha na Freddy Maro

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF waendelea leo jijini Arusha

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akijibu sehemu ya maswali yaliyouliwa na Wanachana na Wadau wa PPF kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.Picha Zote na Othman Michuzi,Arusha.Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii (SSRA),Juma Ally Muhimbi akichangia mada kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WA TANZANIA PORTLAND CEMENT COMPANY(TPCC)WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Tanzania Portland Cement Company Limited(TPCC), Jean-Marc Junon akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPCC, Alfonso Rodrigue na (kushoto) ni Company Secretary, Brian Kangetta Mwenyekiti wa Tanzania Portland Cement Company Limited (TPCC) Jean-Marc Junon akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo ulifanyika jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete awaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wapya 20 Ikulu Jijini Dar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Panterine Muliis Kente kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Benedict Bartholomew Mwingwa  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014.

Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Eliezer Mbuki  Feleshi kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAJAJI WAPYA 20 WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA IKULU JIJINI DAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu pamoja na Majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wapya. Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani