Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania mwenyeji wa Mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki


Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
 Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki (BOG) utakaofanyikia jijini Dar es salaam tarehe 22 mwezi huu.  Kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyotolewa jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (pichani)   na Rais wa Benki ya PTA kwa vyombo vya habari, mkutano huo utakuwa wa siku moja.  Taarifa hiyo imeeleza kuwa lengo la mkutano huo ni kujadili masuala mbalimbali ya kibenki ikiwemo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua mkutano wa magavana wa benki ya PTA

PG4A2627 1

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa Bodi ya Magavana wa Benki ya  Maendeleo ya Biashara, Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) kwenye kituo cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaaam August 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Ligi Tanzania yafanya mkutano wake mkuu wa mwaka

MKUTANO Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), pamoja na klabu za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza, uliofanyika Februali 28, mwaka huu,  umejadili mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja msimu ujao wa Ligi Daraja la kwanza kupata udhamini.
 Kaimu Mtendaji wa Bodi hiyo Fatma Shibo, alisema kuwa katika mkutano huo, kulijadiliwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na utendaji wa bodi hiyo.
Alisema kuwa moja ya vitu vilivyojadiliwa ni vurugu za zinazotokea viwanjani, maoni ya klabu kuhusu viwanja...

 

11 years ago

Michuzi

ZANZIBAR MWENYEJI WA MKUTANO WA NNE WA BODI YA UFUNDI YA NCHI ZA AFRICA MASHARIKI

 Afisa Mkuu wa Viwango Jumuiya ya Africa Mashariki Willy Musinguzi akielezea changamoto wanazokabiliana nazo juu uzibiti wa bizaa zisizo na viwango katika Mkutano wa bodi ya ufundi ya nchi za Africa (EASC) uliofanyika Zanzibar Beach Resort nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.  Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akifungua Mkutano wanne wa kujadili juu ya viwango na uzibiti wa ubora kwenye bidhaa, uliofanyika Zanzibar Beach Resort nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

 

10 years ago

Dewji Blog

Magavana wa benki ya PTA kukutana Tanzania

01

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Stephen Wasira (katikati) alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jana mjini Dodoma juu ya mkutano wa 30 utakaofanyika nchini mwishoni wiki hii. Kushoto ni Rais wa Benki ya Maendeleo ya Kusini na Mashariki ya Afrika (PTA), Admassu Tadesse na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) itakuwa mkutano wa mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka Tanzania na nchi za Ghuba (GCC)

 Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh akieleza umuhimu wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba (GCC) utakafanyika kwa siku mbili kuanzia Januari 15 hadi 16, 2015 jijini Dar Es Salaam. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara kutoka Oman na nchi za Ghuba (GCC)   Saeed Saleh Saeed Al Kiyumi (katikati) akizungumza na baadhi ya wajumbe wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa Wahasibu

Mhasibu Mkuu wa Serikali,Mwanaidi Mtanda akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kuhusiana na mkutano wa 22 wa kimataifa wa Chama cha Wahasibu Wakuu wa Serikali wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAAG) utakaofanyika nchini kuanzia Machi 09, hadi 12 mwaka 2015.Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mkutano wa 22 wa kimataifa wa Chama cha Wahasibu Wakuu wa Serikali wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAAG) ambaye pia ni Makamu Mhasibu Mkuu wa Serikali Azizi...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA ATAF

 Mkurugenzi wa Mawasiliano, Bi Fazila (wa kwanza kushoto) akifuatiwa na Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade,  na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu, Richard Kayombo wakiwa meza kuu. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa ATAF, Bi Fazila akiwa na Kamishina Mkuu wa TRA, Rished Bade.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimimwa Dokta Jakaya Mrisho Kikwete.

Na Pius Yalula-MAELEZO-Dar es salaam

Tanzania inatarajia  kuwa mwenyeji wa mkutano wa 12 wa watumishi wa umma wa  nchi za Afrika ambazo ni wanachama Jumuiya ya Madola utakaonza Jumatatu ijayo jijini Dar es salaam.

Mkutano huo unatarajiwa kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimimwa Dokta Jakaya Mrisho Kikwete na kufungwa na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Dokta Ali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani