Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magavana wa benki ya PTA kukutana Tanzania

01

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Stephen Wasira (katikati) alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jana mjini Dodoma juu ya mkutano wa 30 utakaofanyika nchini mwishoni wiki hii. Kushoto ni Rais wa Benki ya Maendeleo ya Kusini na Mashariki ya Afrika (PTA), Admassu Tadesse na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) itakuwa mkutano wa mwaka...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua mkutano wa magavana wa benki ya PTA

PG4A2627 1

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa Bodi ya Magavana wa Benki ya  Maendeleo ya Biashara, Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) kwenye kituo cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaaam August 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magavana kukutana Tanzania

TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki (BOG), utakaofanyikia jijini Dar es Salaam Agosti 22 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania mwenyeji wa Mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki


Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
 Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki (BOG) utakaofanyikia jijini Dar es salaam tarehe 22 mwezi huu.  Kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyotolewa jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (pichani)   na Rais wa Benki ya PTA kwa vyombo vya habari, mkutano huo utakuwa wa siku moja.  Taarifa hiyo imeeleza kuwa lengo la mkutano huo ni kujadili masuala mbalimbali ya kibenki ikiwemo...

 

10 years ago

Vijimambo

Magavana wa Afrika wakutana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde na Rais wa Kundi la Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim


Wajadili namna ya kuchochea maendeleo na kuimarisha uchumi barani Afrika.Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile wakisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde wakati akiingia kwenye ukumbi wa mkutano.Katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde akinukuu hoja zilizokuwa zikijadiliwa katika mkutano huo.Magavana wa Afrika wakiwa kwenye Mkutano wa...

 

11 years ago

TheCitizen

Tanzania among 5 top beneficiaries of PTA loans

Tanzania has been named among top five countries that benefit from the Eastern and Southern African Trade and Development Bank (PTA Bank) loans.

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUUNGANA KWA BENKI YA NIC TANZANIA NA BENKI YA COMMECIAL BANK OF AFRICA TANZANIA

KUUNGANA KWA BENKI YA NIC TANZANIA NA BENKI YA COMMECIAL BANK OF AFRICA TANZANIA KUUNDA BENKI MPYA YA NCBA TANZANIA LIMITED KUANZIA TAREHE 8 MWEZI JULAI, 2020

Kibali cha kuungana kutoka kwa mamlaka husika tayari vimeshapokelewa

Benki ya NIC Bank Tanzania Limited (NIC) na benki ya Commercial Bank of Africa (Tanzania) Limited (CBA) imeshapokea vibali vyote kuungana na kuanza kutoa huduma kuanzia tarehe 8 mwezi Julai mwaka 2020 kama benki ya NCBA Bank Tanzania Limited.

Uunganaji utafanyika kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

STANBIC TANZANIA YAISAIDIA PTA KUWEKEZA BILIONI 32 SOKO LA HISA DSM

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania Ken Cockerill akiongea na wa habari kuhusiana na benki hiyo ilivyofanikisha Benki ya PTA kuwekeza amana zenye thamani ya shilingi 32.6bn kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam ambazo zitasaidia kuboresha miundo mbinu ya umeme nchini kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO).mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam

 

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (PTA), YATOA SHILINGI MILIONI MBILI KUSAIDIA WANAHABARI WANAOPAMBANA NA UJANGILI NCHINI

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (PTA), Awadh Massawe akizungumza na wanahabari wakati akikabidhi hundi ya sh.milioni mbili kwa Taasisi ya Habari Development Association Dar es Salaam jana asubuhi. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (PTA), Awadh Massawe (kushoto), akikabidhi mfano wa hundi ya sh.milioni mbili kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Habari Development Association (HDA), Kunze Mswanyama (kulia), Dar es Salaam jana asubuhi...

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania akutana na wateja wa benki hiyo jijini Mwanza

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks, akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza hivi karibuni katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na NBC hivi karibuni. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wao wa Jiji la Mwanza katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na benki hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani