Magavana kukutana Tanzania
TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki (BOG), utakaofanyikia jijini Dar es Salaam Agosti 22 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Aug
Magavana wa benki ya PTA kukutana Tanzania
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Stephen Wasira (katikati) alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jana mjini Dodoma juu ya mkutano wa 30 utakaofanyika nchini mwishoni wiki hii. Kushoto ni Rais wa Benki ya Maendeleo ya Kusini na Mashariki ya Afrika (PTA), Admassu Tadesse na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) itakuwa mkutano wa mwaka...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-nZpy5tnpsAo/U-nKy8Z3OII/AAAAAAAF-1M/Knd-IXP3yAc/s72-c/download.jpg)
Tanzania mwenyeji wa Mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki
![](http://2.bp.blogspot.com/-nZpy5tnpsAo/U-nKy8Z3OII/AAAAAAAF-1M/Knd-IXP3yAc/s1600/download.jpg)
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki (BOG) utakaofanyikia jijini Dar es salaam tarehe 22 mwezi huu. Kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyotolewa jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (pichani) na Rais wa Benki ya PTA kwa vyombo vya habari, mkutano huo utakuwa wa siku moja. Taarifa hiyo imeeleza kuwa lengo la mkutano huo ni kujadili masuala mbalimbali ya kibenki ikiwemo...
10 years ago
BBCSwahili05 Feb
Chaneta Tanzania kukutana na Serikali
9 years ago
Vijimambo04 Sep
DR SLAA AKIRI KUKUTANA NA MWAKYEMBE SIKU MOJA KABLA YA KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI, AMWAMBIA LISSU AONYESHE VOCHA YA YEYE KUCHUKUA MSHAHARA CHADEMA
![](http://jewajua.com/wp-content/uploads/2015/09/Dr-Wilbroad-Slaa-Akitangaza-Kuachana-na-Sisa-za-Vyama-741x486.jpg)
SIKU moja baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, kutangaza kuachana na siasa na kushusha tuhuma kwa chama chake, maaskofu wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), imebainika kuwa kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari alikutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Dk. Harison Mwakyembe.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Dk. Slaa ambaye alimshambulia mgombea...
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
Salva Kiir, Machar kukutana Tanzania
10 years ago
Habarileo17 Apr
Balozi ashauri sekta binafsi Malawi, Tanzania kukutana
BALOZI wa Malawi nchini, Hawa Ndilowe ameiomba Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (PSPF) kukutana na wenzao wa Malawi ili waweze kujenga uhusiano ambao utasaidia wafanyabiashara wa nchi hizo mbili kufanya biashara pamoja.
9 years ago
Vijimambo11 Oct
TANZANIA YAFUNGWA GOLI 1 NA MALAWI LAKINI YAPITA SASA KUKUTANA NA ALGERIA
![Mbwana Samata (kushoto) na Thomas Ulimwengu wakishangilia goli la pili lililofungwa na Ulimwengu](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Stars-vs-Malawi-5.jpg)
Timu ya Tanzania Taifa Stars leo imefuzu kusonga mbele baada ya kufungwa goli 1-0 na Malawi goli lililopatikana katika kipindi cha kwanza katika dakika ya 43 ya mchezo goli lililofungwa kifundi nje ya 18 na mchezaji machachali wa Malawi John Banda anayevaa jezi nambari 7.
Katika mchezo huo uliochezewa katika uwanja wa Kamuzu jijini...
11 years ago
Habarileo22 May
Magavana Afrika wakutana Kigali
SERIKALI imesema iko imara katika kuendelea na kusimamia juhudi zinazofanywa na Benki ya Afrika katika kuinua mitaji kupitia mpango wa sita wa kukuza mitaji wa benki hiyo (GCI-VI).
10 years ago
BBCSwahili11 Apr
Nigeria kuchaguwa magavana na wabunge