Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nigeria kuchaguwa magavana na wabunge

Wapiga kura nchini Nigeria watapiga kura leo kuchagua magavana wa majimbo pamoja na wabunge.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NIGERIA KUCHAGUWA MAGAVANA NA WABUNGE LEO

Masanduku ya kupigia kura nchini Nigeria. Rais mteule wa Nigeria Bw. Muhammadu Buhari. Wapiga kura nchini Nigeria wanapiga kura leo kuchagua magavana wa majimbo pamoja na wabunge. Chama cha APC kinatarajiwa kupata ushindi mkubwa baaada ya mgombea wake wa urais aliyekuwa kiongozi wa zamani wa kijeshi Muhammadu Buhari kumshinda aliyekuwa rais wan chi hiyo Goodluck Jonathan kwa kura zaidi ya millioni 2 katika uchaguzi mkuu wa nchi...

 

10 years ago

GPL

APC YAENDELEZA USHINDI WA MAGAVANA NA WABUNGE NCHINI NIGERIA

Rais mteule wa Nigeria Jenerali Muhhamadu Buhari akishangilia baada ya APC kushinda majimbo makuu ya Lagos kaduna na Katsina katika uchaguzi wa Mgavana na Wabunge uliofanyika jumamosi na jumapili.
Mfanyakazi wa tume ya uchaguzi nchini Nigeria INEC akiwaelekeza jambo wapiga kura.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Nigeria wapinga posho za wabunge

Raia wa Nigeria wametoa hisia zao za ghadhabu kufuatia ripoti kuwa wabunge kujipa mamilioni ya dola ikiwemo pesa ya mavazi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia Nigeria wapinga posho za wabunge

Wananchi wa Nigeria wawapinga wabunge wao kwa kujinufaisha na fedha za umma kwa kujilipa posho ya maelfu ya dola

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge Madola walaani utekaji wasichana Nigeria

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake wa Nchi za Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Beatrice ShelukindoWABUNGE wanawake wa Nchi za Jumuiya ya Madola (CWP) wametoa tamko la kulaani matukio ya utekaji na utesaji wa wasichana nchini Nigeria linalofanywa na kundi la kigaidi la Boko Haram.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magavana kukutana Tanzania

TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki (BOG), utakaofanyikia jijini Dar es Salaam Agosti 22 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa...

 

11 years ago

Habarileo

Magavana Afrika wakutana Kigali

SERIKALI imesema iko imara katika kuendelea na kusimamia juhudi zinazofanywa na Benki ya Afrika katika kuinua mitaji kupitia mpango wa sita wa kukuza mitaji wa benki hiyo (GCI-VI).

 

10 years ago

Mwananchi

Magavana waweka mikakati ya sarafu moja

>Mgavana wa benki kuu za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamekubaliana kuandaa mifumo ya kisheria, taasisi na kuoanisha sera ikiwa ni utekelezaji wa itifaki ya kuanzisha Umoja wa Sarafu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani