Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WASTAAFU MWINYI NA MKAPA WALIPOFUNGUA NA KUFUNGA MKUTANO WA BODI YA MAKANDARASI NCHINI (CRB) MWENYEJI WAO AKIWA DKT. MAGUFULI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU MWINYI AFUNGA MKUTANO WA BODI YA MAKANDARASI NCHINI (CRB)

 Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi akisoma hotuba yake kabla ya kufunga rasmi mkutano wa Wadau wa Sekta ya ujenzi nchini uliondaliwa na Bodi ya Wakandarasi nchini CRB ikishirikiana na Bodi ya Wahandisi ERB pamoja na Bodi ya AQRB. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungummza katika mkutano huo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi. Mwenyekiti wa Bodi ya Makandarasi (CRB) Eng. Consolata Ngimbwa akimkabidi zawadi mgeni rasmi Rais Mstaafu wa awamu ya Pili...

 

9 years ago

Michuzi

ONLY IN TANZANIA: RAIS MAGUFULI AKIWA NA MARAIS WASTAAFU BUNGENI DODOMA

Andika caption ya taswira hii kwenye sehemu ya maoni. Ikivutia  zaidi ya zote utapata zawadi ya fulana ya #HAPAKAZITU.Mwisho wa kutuma caption ni Kesho Jumapili saa sita usiku.

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI ALIYOTOA KATIKA KUFUNGA MKUTANO WA MABALOZI WA HESHIMA

Your Excellency Liberata Mulamula, Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United States;

Honourable Mayors here present;

Distinguished Honorary Consuls and Honorary Consuls Designate;

Embassy Officials;

Members of the Tanzania Community in the USA;

Invited Guests;

Ladies and Gentlemen.

I sincerely thank you, Ambassador Liberata Mulamula and the Tanzanian Embassy, for associating me with this solemn occasion of the consultative meeting between the Embassy of Tanzania and Honorary...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU, NCHINI CHINA, AKUTANA NA MWENYEJI WAKE MAKAKU WA RAIS WA CHINA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili kwenye Ukumbi Maalum kwa watu wa China. 'Peoples Great Hall', jijini Beijing China kwa ajili ya mazungumzo rasmi, alipoalikwa kwenye chakula cha jioni na Makamu wa Rais wa China baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini humo. jana Mei 20, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AWAKABIDHI MARAIS WASTAAFU TAUSI 25 KILA MMOJA NA MAMA MARIA NYERERE KWA KUTAMBUA MCHANGO WAO KATIKA TAIFA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Hati ya Makabidhiano ya zawadi ya Ndege aina ya Tausi 25 kwa Mama Maria Nyerere mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kuwafuga katika Makazi yake, hafla hiyo fupi ilifanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya Makabidhiano ya ndege aina ya Tausi 25 kwa Rais Mstaafu wa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AHUTUBIA NA KUFUNGA BUNGE LA 11 JIJINI DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wabunge wakati akifunga Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo tarehe 16 June 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kulihutubia na kulifunga Bunge hilo la 11 jijini Dodoma. P


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania mwenyeji wa Mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki


Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
 Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki (BOG) utakaofanyikia jijini Dar es salaam tarehe 22 mwezi huu.  Kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyotolewa jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (pichani)   na Rais wa Benki ya PTA kwa vyombo vya habari, mkutano huo utakuwa wa siku moja.  Taarifa hiyo imeeleza kuwa lengo la mkutano huo ni kujadili masuala mbalimbali ya kibenki ikiwemo...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU ALHAJ DKT MWINYI AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI CHINA

Rais Mstaafu Alhaj Dkt Ali Hassan Mwinyi alizuru Jamhuri ya Watu wa China kufuatia mualiko uliomhitaji ashiriki na kutoa hotuba katika ufunguzi wa mkutano wa kuadhimisha miaka sabini ya kuundwa kwa Umoja wa Mataifa tarehe 20 Julai 2015. 
Katika ziara hiyo, Rais Mwinyi pia alipata fursa ya kutembelea Ubalozi wetu na kupata chakula kilichoandaliwa na Balozi wa Tanzania nchini China, Jenerali (Mstaafu) AbdulRahman Shimbo pamoja na Mama Shimbo.Rais Mstaafu Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi na wadau...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal amaliza ziara yake ya siku tatu, nchini China, akutana na mwenyeji wake makamu wa Rais wa China

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili kwenye Ukumbi Maalum kwa watu wa China. ‘Peoples Great Hall’, jijini Beijing China kwa ajili ya mazungumzo rasmi, alipoalikwa kwenye chakula cha jioni na Makamu wa Rais wa China baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini humo.Mei 20, 2015. (Picha na OMR).

3

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani