Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MSTAAFU MWINYI AFUNGA MKUTANO WA BODI YA MAKANDARASI NCHINI (CRB)

 Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi akisoma hotuba yake kabla ya kufunga rasmi mkutano wa Wadau wa Sekta ya ujenzi nchini uliondaliwa na Bodi ya Wakandarasi nchini CRB ikishirikiana na Bodi ya Wahandisi ERB pamoja na Bodi ya AQRB. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungummza katika mkutano huo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi. Mwenyekiti wa Bodi ya Makandarasi (CRB) Eng. Consolata Ngimbwa akimkabidi zawadi mgeni rasmi Rais Mstaafu wa awamu ya Pili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AFUNGA KIKAO CHA MABALOZI WA HESHIMA WASHINGTON, DC

Rais mstaafu awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi akiingia chumba cha mkutano cha Nyerere ndani ya mjengo wa Ubalozi Washington, DC siku ya Ijumaa April 24, 2015 kulikokua na kikao cha Mabalozi wa heshima kilichoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani chini ya Balozi Liberata Mulamula kwa ajili kuongelea maswala mbalimbali zikiwemo changamoto za utalii na uwekezaji nchini Tanzania na jinsi gani ya kukabiliana nazo, mbali na Mabalozi hao wa heshima na marafiki zao wengine waliohudhuruia...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI ALIYOTOA KATIKA KUFUNGA MKUTANO WA MABALOZI WA HESHIMA

Your Excellency Liberata Mulamula, Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United States;

Honourable Mayors here present;

Distinguished Honorary Consuls and Honorary Consuls Designate;

Embassy Officials;

Members of the Tanzania Community in the USA;

Invited Guests;

Ladies and Gentlemen.

I sincerely thank you, Ambassador Liberata Mulamula and the Tanzanian Embassy, for associating me with this solemn occasion of the consultative meeting between the Embassy of Tanzania and Honorary...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU ALHAJ DKT MWINYI AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI CHINA

Rais Mstaafu Alhaj Dkt Ali Hassan Mwinyi alizuru Jamhuri ya Watu wa China kufuatia mualiko uliomhitaji ashiriki na kutoa hotuba katika ufunguzi wa mkutano wa kuadhimisha miaka sabini ya kuundwa kwa Umoja wa Mataifa tarehe 20 Julai 2015. 
Katika ziara hiyo, Rais Mwinyi pia alipata fursa ya kutembelea Ubalozi wetu na kupata chakula kilichoandaliwa na Balozi wa Tanzania nchini China, Jenerali (Mstaafu) AbdulRahman Shimbo pamoja na Mama Shimbo.Rais Mstaafu Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi na wadau...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA NCHINI

 Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto) akiongozana na jaji mkuu wa Tanzania, Mohamed Othaman Chande  (watatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki (wa kwanza kushoto), Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Ally LILA  wakiwa katika matembezi ya kuadhimisha wiki ya sheria nchini matembezi hayo yalianzia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuishia katika viwanja vya mnazi mmoja jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA ZAMANI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA AFANYA MAZUNGUMUZO NA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI WASHINGTON, DC

 Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akibadilishana mawili matatu na aliyekua Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Mark Green mara tu alipowasili kwenye ofisi za jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani lililopo barabara ya 22 Washington, DC. Balozi Mark Green alikua Balozi wa Marekani nchini Tanzania kuanzia mwaka 2007 mpaka 2009 na mwaka 2014 aliteuliwa kuwa Rais wa International Republican Institute na pia ni mmoja ya wakurugenzi wa bodi yaMillennium Chalenge Corporation (MCC)...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI APENDEZESHA SHEREHE YA CHAUKIDU SILVER SPRING, MARYLAND NCHINI MAREKANI

Meza kuu toka kushoto ni Rais wa CHAUKIDU Prof.Lioba Moshi, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na Mama Sitti Mwinyi wakuhudhuria sherehe ya Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani. Mhe. Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiwa mgeni rasmi sherehe iliyofanyika Silver Spring, Maryland nchini Marekani siku ya Alhamisi April 23, 2015 na kuhudhuriwa na wadau wa Kiswahili kutoka mataifa mbalimbali wakiwemo Wamarekani wanaozungumuza lugha ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI. Posted: 30 Apr 2015 12:57 PM PDT Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti

Mbunge wa Mvomero Mh, Amos Makalla ameridhia pendekezo la wananchi kumuona Waziri Mkuu Mh, Mizengo Pinda kufuatia mapigano ya wakulima na wafugaji yaliyotokea wiki iliyopita ambapo watu watatu walipoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya wafugaji kulishia Mazao ya wakulima katika mashamba yaliopo bonde la mgongola.  Kutokana na hali hiyo, Mbunge huyo kwa kushirikiana na Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama waliitisha mkutano wa hadhara kijiji cha Kugugu kuongea na...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, ABDULRAHMAN KINANA NA RAIS MSTAAFU, ALI HASSAN MWINYI WATEMBELEA GYM YA MAZOEZI YA TIMU YA AZAM FC, CHAMAZI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakijaribu kufanya mazoezi katika mashine zilizo ndani ya Gym ya mazoezi ya timu ya Azam Fc, wakati walipotembelea Gym hiyo kujionea leo baada ya hafla ya uzinduzi wa Msikiti wa ‘Masjidil Huda’, kwenye Uwanja wa Chamazi, jijini Dar es Salaam, leo Julai 4, 2014. Mkurugenzi wa Makampuni ya SSB, Said Mohamed, (wa pili kulia) akitoa maelezo kwa viongozi, Makamu wa Rais wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani