Jumuiya ya Waislam waJumba nambari 8 ngazi ya nne Michenzani Zanzibar waftarisha Ramadhani 27
Ikiwa kama ada endelevu kila ifikapo mwezi 27 wa mfungo mtukufu wa ramadhani Siku ya Ijumaa July 25, 2014 Jumuiya ya Waislam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kama ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar waliweza kuftari na waislamu wenzao wa maeneo mbali mbali wa karibu na wakiwemo wakaazi wa Mwembetanga, vikokotoni, pamoja na waMichezani.Waumini wa kiislamu wakipata iftar iliyoandaliwa na wakaazi wa jumba nambari 8 ngazi ya nne Michenzani ZanzibarPichani: Maalim Abuu, sheikh Ali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziJUMUIYA YA KIISLAMU YA MUZDALIFAT WATOA SADAKA YA RAMADHANI ZANZIBAR
11 years ago
MichuziMkutano wa tisa wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamalizika katika ngazi ya wataalamu mjini Zanzibar
5 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI AWAPONGEZA WAISLAM KWA KUMALIZA MFUNGO WA RAMADHANI, AWASHUKURU KWA KULIOMBEA TAIFA DHIDI YA CORONA
RAIS Dk. John Magufuli amewapongeza Waislam wote nchini kwa kumaliza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku akiwashuru kwa namna walivyoshiriki kuliombea Taifa hasa katika kipindi hiki cha kukabilia na ugonjwa wa COVID-19.
Hayo yamesemwa leo (Jumapili, Mei 24, 2020) na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akizungumza na waumini wa dini ya kiislam mara baada ya kumaliza kuswali sala ya Eid El Fitri katika Msikiti wa Gaddafi, jijini Dodoma. Pia Rais Dkt. Magufuli...
11 years ago
Mwananchi16 Dec
Ramadhani aota medali Jumuiya ya Madola
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WAISLAM WAISHIO DC,MARYLAND, VIRGINIA NCHINI MAREKANI (TAMCO) WALIVYO ADHIMISHA TAMCO FAMILY DAY
Watatu kutoka kulia ni mwenyekiti wa tamco Bw. Ali Mohamed akifutiwa na muasisi alietowa wazo la kuanzishwa jumuiya ya waislam ya watanzania waishio washington DC na vitongoji vyake, mzee Yussf Kalala wa nne kutoka kulia, wakiwa na baadhi ya viongozi wengine katika siku ya TAMCO FAmily Day
Muasisisi wa TAMCO, Mzee Yussuf Kalala akiwakaribisha meza kuu Ali kiba na mdogo wake Abdu Kiba kuwasalimia watanzania waliohudhuria katika TAMCO Family Day TAMCO Family Day hufanyika kila mwaka kwa...
11 years ago
Michuzikituo cha daladala cha marikiti zanzibar chahamia michenzani na mnazi mmoja
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA SEMINA YA JUMUIYA WAZAZI NGAZI YA TAIFA,MKOANI DODOMA LEO
9 years ago
MichuziJUMUIYA YA MAAFISA AFYA ZANZIBAR YATOA MSAADA WA MAJI SAFI NA VIFAA TIBA, KAMBI YA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU CHUMBUNI ZANZIBAR.
9 years ago
VijimamboTUME YA UCHAGUZI YATOA MATOKEO YA AWAMU YA NNE KWA MAJIMBO YA UCHAGUZI KWA NGAZI YA URAIS LEO ASUBUHI
ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI