Waangalizi wa kimataifa Wasisitiza ujio wao utazingatia kanuni za uchaguzi
Zaidi ya waangalizi wa muda mrefu 34 wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya wamesambazwa nchi nzima kuangalia mwenendo mzima wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu.
Akizindua ujumbe huo ulioanza kuwasili nchini Septemba 11,Mwangalizi Mkuu na Mbunge wa Bunge la Uholanzi , Judith Sargentini amesema wanatarajia kuangalia mwenendo mzima wa uchaguzi kuanzia sasa kampeni zinavyoendelea.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Sargentini amesema waangalizi hao ambao...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog27 Aug
Viongozi na Wasanii wa Vyama vya Mashirikisho ya Sanaa wasisitiza kuhusu ujio wa Ujumbe wao Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki Tanzania (TAMUNET) Bw. John Kitime (kushoto) akiwahutubia waandishi wa Habari pamoja na Wasanii waliohudhuria mkutano uliofanyika mjini Dodoma 27 Agosti, 2014. Kulia ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifwamba.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
VIONGOZI na Wasanii toka baadhi ya Vyama na Mashirikisho ya Sanaa nchini wameendelea kuhabarisha umma juu ya ujio wa Ujumbe wao wenye malengo mawili ya msingi ya kutaka wasanii kutambuliwa...
9 years ago
MichuziWAANGALIZI WA KIMATAIFA WA UCHAGUZI WAENDELEA KUPATA UFAFANUZI JUU YA MASUALA YANAYOHUSIANA NA VYAMA VYA SIASA NA UCHAGUZI.
9 years ago
MichuziUjumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa EU watoa wito kwa ukamilishwaji haraka wa mchakato wa uchaguzi Zanzibar kulingana na kanuni za chaguzi shirikishi, za uwazi, zinazotekelezwa kwa wakati na za kuaminika
Kufuatia Siku ya Uchaguzi tarehe 25 Oktoba, Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya umebaki nchini kufuatilia chaguzi zilizoahirishwa Tanzania Bara na mchakato uliyositishwa Visiwani Zanzibar, baada ya tamko la Mwenyekiti wa Tume ya...
9 years ago
Vijimambo28 Oct
Waangalizi wa kimataifa wapongeza uchaguzi
Aidha, wamebainisha kuwa uchaguzi huo ulikuwa umepangwa vyema na kufanyika kwa amani. Waangalizi hao wamepongeza Watanzania kwa kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao kikatiba kwa kuwa na uchaguzi wa huru na amani kutawala licha ya kutokea kwa changamoto mbalimbali. Aidha, wamesema kuanzia kipindi chote cha kampeni...
9 years ago
MichuziWaangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25
9 years ago
VijimamboWAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.
10 years ago
Michuzi19 Sep
9 years ago
Mwananchi24 Oct
Kikwete awahakikisha waangalizi kimataifa amani, utulivu
10 years ago
Habarileo04 Aug
Wanazuoni wa Kiislamu wasisitiza uchaguzi wa amani
UMOJA wa Wanawazuoni wa Kiislamu Tanzania (Hay-Atul Ulamaa), umesema ili kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao unamalizika kwa amani na usalama, wadau wa mchakato huo wanapaswa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia njia za amani kutatua migogoro itakayojitokeza.