Kikwete awahakikisha waangalizi kimataifa amani, utulivu
Rais Jakaya Kikwete amewahakikishia viongozi wa waangalizi wa kimataifa kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu utafanyika kwa amani na utulivu ikilinganishwa na zilizopita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU WA NCHI YETU KUFANYIKA KESHO UKUMBI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
Vijimambo28 Oct
Waangalizi wa kimataifa wapongeza uchaguzi
![Waangalizi wa kimataifa wapongeza uchaguzi](http://www.habarileo.co.tz/images/resized/images/Lubuvaaaaaa_478_293.jpg)
Aidha, wamebainisha kuwa uchaguzi huo ulikuwa umepangwa vyema na kufanyika kwa amani. Waangalizi hao wamepongeza Watanzania kwa kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao kikatiba kwa kuwa na uchaguzi wa huru na amani kutawala licha ya kutokea kwa changamoto mbalimbali. Aidha, wamesema kuanzia kipindi chote cha kampeni...
9 years ago
StarTV01 Oct
Waangalizi wa kimataifa Wasisitiza ujio wao utazingatia kanuni za uchaguzi
Zaidi ya waangalizi wa muda mrefu 34 wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya wamesambazwa nchi nzima kuangalia mwenendo mzima wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu.
Akizindua ujumbe huo ulioanza kuwasili nchini Septemba 11,Mwangalizi Mkuu na Mbunge wa Bunge la Uholanzi , Judith Sargentini amesema wanatarajia kuangalia mwenendo mzima wa uchaguzi kuanzia sasa kampeni zinavyoendelea.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Sargentini amesema waangalizi hao ambao...
9 years ago
Raia Mwema21 Oct
Tunawatakia uchaguzi wa amani na utulivu
JUMAPILI ijayo, Watanzania watafanya uamuzi wa kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mwandishi Wetu
10 years ago
Habarileo26 Jan
‘CCM italinda amani, utulivu’
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema CCM itasimamia misingi yake mikuu ya kuasisiwa kwake, ambayo ni kulinda amani na utulivu wa wananchi wake.
9 years ago
Habarileo03 Nov
Mitihani yaanza kwa amani na utulivu
MTIHANI wa kidato cha nne ulioanza jana nchini kote umeanza kwa hali ya utulivu na amani katika shule mbalimbali za jiji la Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo10 Dec
Asisitiza amani na utulivu kwenye uchaguzi
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Shija Othmani amewahimiza wafuasi wa vyama mbalimbali na wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu kwenye kipindi hiki cha kumalizia kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na siku ya uchaguzi ili kufanikisha kazi hiyo.
10 years ago
Habarileo01 Mar
Watanzania watakiwa kulinda amani, utulivu
WATANZANIA wametakiwa kulinda amani ya nchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ili kuliletea taifa maendeleo.
9 years ago
Habarileo21 Aug
Wema na wenzake kunadi amani, utulivu
KUNDI la wasanii wa kike wa Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ wakiongozwa na Wema Sepetu wanatarajia kufanya tamasha kubwa la Mama Ongea na Mwanao 2015 kwa ajili ya kuhamasisha watu kuwaheshimu wanawake na kuwathamini kuelekea kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu 2015.