Waangalizi wa kimataifa wapongeza uchaguzi
WAANGALIZI wa kimataifa waliokuwa wakifuatilia Uchaguzi Mkuu nchini uliofanyika Jumapili, wamesema uchaguzi huo ulikuwa huru, haki, uwazi na ulioelezea jinsi Watanzania walivyo.
Aidha, wamebainisha kuwa uchaguzi huo ulikuwa umepangwa vyema na kufanyika kwa amani. Waangalizi hao wamepongeza Watanzania kwa kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao kikatiba kwa kuwa na uchaguzi wa huru na amani kutawala licha ya kutokea kwa changamoto mbalimbali. Aidha, wamesema kuanzia kipindi chote cha kampeni...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAANGALIZI WA KIMATAIFA WA UCHAGUZI WAENDELEA KUPATA UFAFANUZI JUU YA MASUALA YANAYOHUSIANA NA VYAMA VYA SIASA NA UCHAGUZI.
9 years ago
StarTV01 Oct
Waangalizi wa kimataifa Wasisitiza ujio wao utazingatia kanuni za uchaguzi
Zaidi ya waangalizi wa muda mrefu 34 wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya wamesambazwa nchi nzima kuangalia mwenendo mzima wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu.
Akizindua ujumbe huo ulioanza kuwasili nchini Septemba 11,Mwangalizi Mkuu na Mbunge wa Bunge la Uholanzi , Judith Sargentini amesema wanatarajia kuangalia mwenendo mzima wa uchaguzi kuanzia sasa kampeni zinavyoendelea.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Sargentini amesema waangalizi hao ambao...
9 years ago
MichuziWaangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25
9 years ago
VijimamboWAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.
9 years ago
Mwananchi24 Oct
Kikwete awahakikisha waangalizi kimataifa amani, utulivu
9 years ago
Habarileo25 Oct
Waangalizi uchaguzi waridhika
WAANGALIZI wa Uchaguzi Mkuu kutoka nchi za Maziwa Makuu, wameridhishwa na kutosheka na hali ya utulivu na kukomaa kwa demokrasia nchini, wakati wote wa kampeni licha ya kuwepo na tofauti za kisera.
9 years ago
Habarileo30 Oct
Waangalizi wasifia uchaguzi
UMOJA wa Waangalizi wa Ndani wa Uchaguzi Tanzania (CEMOT), umepongeza mchakato wa uchaguzi wakisema sheria na kanuni vimezingatiwa na kuheshimiwa.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RJ0Grr-rL7s/Vmb1OaTl-LI/AAAAAAAILCg/amGtPDEzPwI/s72-c/EU_flag1-436x347.jpg)
Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa EU watoa wito kwa ukamilishwaji haraka wa mchakato wa uchaguzi Zanzibar kulingana na kanuni za chaguzi shirikishi, za uwazi, zinazotekelezwa kwa wakati na za kuaminika
![](http://3.bp.blogspot.com/-RJ0Grr-rL7s/Vmb1OaTl-LI/AAAAAAAILCg/amGtPDEzPwI/s400/EU_flag1-436x347.jpg)
Kufuatia Siku ya Uchaguzi tarehe 25 Oktoba, Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya umebaki nchini kufuatilia chaguzi zilizoahirishwa Tanzania Bara na mchakato uliyositishwa Visiwani Zanzibar, baada ya tamko la Mwenyekiti wa Tume ya...
9 years ago
BBCSwahili03 Nov
Waangalizi wa uchaguzi TZ waipinga ZEC