Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DENMARK IMEAHIDI KUENDELEA KUIUNGA MKONO ZANZIBAR KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KIUCHUMI

 Balozi Mpya wa Denmark Nchini Tanzania Einar Hebogard Jensen akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwa Balozi Seif Vuga Mjini Zanzibar alipofika kujitambulisha rasmi. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwa Balozi Seif akibadilishana mawazo na Balozi Mpya wa Denmark Nchini Tanzania Bwana Einar Hebogard Jensen.
Picha na –OMPR – ZNZ.                 DENMARK imeahidi kuendelea kuiunga Mkono  Zanzibar katika harakati zake za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JAMUHURI YA KIISLAMU YA IRAN INA WAJIBU WA KUENDELEA KUIUNGA MKONO ZANZIBAR.

Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran ina wajibu  wa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika harakati za maendeleo kutokana na Historia ndefu iliyopo ya mwingiliano wa kibiashara baina ya baadhi ya Wananchi wa pande hizo mbili.
Gavana  Mkuu wa Jimbo la Sistan na Balachestan Nchini Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran Bwana  Ali Osat Hashemi akiuongoza Ujumbe wa Viongozi saba wa Jimbo hilo alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini...

 

11 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Ali Iddi aiomba IFAD kuendelea kuwaunga mkono wazalishaji katika sekta ya kilimo Zanzibar

342

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi akiwa pamoja na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi kwenye chakula maalum cha usiku walichoandaliwa wajumbe wa Bodi Tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Kilimo { IFAD } hapo Serena Hoteli Shangani Mjini Zanzibar.

Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo { IFAD }umeombwa kuendelea kuunga mkono Sekta ya Kilimo Zanzibar katika njia ya kuwajengea uwezo wazalishaji wa Sekta hiyo mama ya uchumi  kupitia mfumo wa Teknolojia ya kisasa.

Ombi hilo...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAJIDHATITI KUIUNGA MKONO SERIKALI KATIKA VITA DHIDI YA MALARIA

 Meneja Mkuu wa Benki ya Exim tawi la Arusha Bw. Fredrick Umiro (kulia) akikabidhi vyandarua vyenye dawa kwa Mtaalamu wa masuala ya upasuaji katika hospitali ya  Mount Meru iliyopo jijini Arusha,  Dkt. Zubera Mtengwa (wa pili kushoto).Wakishuhudia pembeni ni Meneja Mauzo wa benki ya Exim Arusha Bw Bw. Assed Ali Naqvi (kushoto)na wawakilishi kutoka hospitali hiyo.Msaada huo ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani inayoadhimishwa kote ulimwenguni Aprili 25 ya kila mwakaMganga Mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Waaswa kuiunga mkono Serikali

Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu Francisco Padilla amesema ili kuimarisha ustawi wa jamii na kudumisha amani, taasisi mbalimbali zinapaswa kuunga mkono juhudi zifanywazo na Serikali ya Tanzania katika kuboresha huduma muhimu kwa jamii.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ujerumani kuiunga mkono Ufaransa Syria

Baraza la mawaziri nchini Ujerumani limeidhinisha msaada kwa Ufaransa katika vita dhidi ya wanamgambo wa Islamic State

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waislamu watakiwa kuiunga mkono Bakwata

TAASISI ya Tanzania Islamic Peace Foundation (TIPF) imewataka Waislamu kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata). Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Sheikh Sadiki...

 

9 years ago

StarTV

Jukwaa la Wazalendo lawahimiza wananchi kuiunga mkono Hotuba Ya Rais

Jukwaa huru la Wazalendo limetangaza kuunga mkonon hotuba ya Rais wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli aliyoitoa Novemba 19 katika ufunguzi wa Bunge la kumi na moja Mjini Dodoma.

Katika ufunguzi wa Bunge hilo Rais Magufuli ,alitangaza mpango mkakati wa Serikali wa kubana matumizi ikiwemo kupunguza safari za nje ya nchi za maofisa wa Serikali pamoja na kuondoa matumizi ya fedha yasiyo yalazima.

Hotuba ya Kwanza Rais Magufuli kuitoa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu...

 

11 years ago

Michuzi

Shukurani za Asia Idarous Khamsin kwa kuiunga mkono "Lady in RED" 2014

Asia Idarous akipita kwenye red Carpet Asia Idarous akipita kwenye red carpet

MAMA wa Mitindo nchini na Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin amewashukuru wadau mbali mbali kwa kuendelea kuliunga mkono onesho la Mitindo la kila mwaka la 'Lady in Red' ambalo kwa mwaka huu limetimiza miaka 10 tokea kuanzishwa kwake huku likiwa la mafanikio kwa kuibua wanamitindo wakubwa hapa nchini.

Akizungumza Dar es salaam, katika ofisi za Fabak zilizopo Msasani jirani na Kwa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam, Asia Idarous...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mimute na harakati za kumkomboa mwanamke kiuchumi

VITENDO vya unyanyasaji, ukatili dhidi ya wanawake  ni matokeo ya mila gandamizi ambazo ni kikwazo katika ukombozi wa wanawake kiuchumi,mkijamii na kisiasa. Wanawake wengi hasa waishio vijijini, wamekua wakipigwa ovyo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani