Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNAJIAMINI NINI KUMPENDA MTU AMBAYE HUJUI HISTORIA YAKE?

Wiki iliyopita nilibahatika kukutana na rafiki yangu wa muda mrefu sana! Urafiki wetu ulianzia tangu tulipokuwa wadogo, tulicheza na kusoma pamoja hadi kumaliza elimu ya msingi ndipo tukapotezana. Aliniita nyumbani kwake kunitambulisha kwa mchumba wake ambaye walitarajia kufunga naye ndoa siku chache zijazo. Kwa bahati nzuri au mbaya, binti ambaye rafiki yangu huyo alitarajia kumuoa namfahamu vizuri sana. Unaweza kuwa unajiuliza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UNAJIAMINI NINI HADI UJINYIME KWA AJILI YA MAISHA YA BAADAYE?

Kwanza niwashukuru wasomaji wangu ambao wamekuwa wakinipongeza kutokana na yale ambayo nimekuwa nikiyaandika kupitia safu hii. Mmoja wa wasomaji hao ni Nasra wa Kilombero ambaye ni mfanyabiashara. Kwa nini nimpe shukrani za kipekee? Hivi karibuni alinipigia simu na kuniambia: “Nakushukuru, mada zako zimenisaidia sana, nimekuwa nikifanyia kazi unayoandika na hakika maisha yangu yamebadilika, asante na Mungu akubariki.”...

 

9 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford: Natamani Kuolewa na Mtu Ambaye Si Maarufu

Muigizaji wa filamu za Bongo, Shamsa Ford ameweka wazi hisia zake za kutaka kuingia kwenye ndoa.

Shamsa ambaye kwa miezi kadhaa iliyopita amekuwa akikanusha kuwa na uhusiano na Nay Wa Mitego licha ya kuwepo kwa dalili nyingi zinazoashiria kuwa ni wapenzi, amesema sasa umefika muda anatamani kuolewa.

Muigizaji huyo wa ‘Chausiku’ ambaye ni mama wa mtoto mmoja, ameongeza kuwa licha ya kutamani kuwa mke wa mtu lakini nafasi hiyo hawezi kumpa mtu maarufu, kwa lugha nyingine hawezi kuolewa na...

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Maafisa wanne weupe wafutwa kazi kufuatia kifo cha mtu mweusi ambaye hakujihami

FBI inawachunguza polisi wa Minneapolis paada ya video inayomuonesha mtualiyeshikwa akisema "Siwezi kupumua".

 

5 years ago

BBCSwahili

"Maisha yake ni sawasawa na mtu aliyekufa na kufufuka" kulingana na mama yake

Simulizi ya mtoto mwenye ugonjwa adimu duniani ambaye siku ngingi anajipata kuwa hspitali zaidi ya nyumbani tena chumba cha wagonjw amahutui (ICU)

 

9 years ago

MillardAyo

Huyu ndiye staa wa Nigeria ambaye akitaka kumuoa mwanamke mweupe ataomba picha yake ya utoto, kisa?

Katika maisha kila mtu ana malengo na mipango yake, hata tukija katika ishu za kutafuta mchumba au kuoa kila mtu ana vigezo vyake, basi mimekutana na kigezo cha mmoja kati ya rapper wakali kutoka Nigeria ambaye jina lake la kuzaliwa ni Jude Abaga ila mtaani anafahamika kama Mr Incredible (MI). MI Abaga ambaye ni CEO wa […]

The post Huyu ndiye staa wa Nigeria ambaye akitaka kumuoa mwanamke mweupe ataomba picha yake ya utoto, kisa? appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

GPL

'MJUSI' WA TANZANIA AMBAYE MABAKI YAKE YALITOROSHEWA UJERUMANI

Haya ndo mabaki ya Mjusi kama yanavyoonekana Hii ndo sehemu ambako mabaki hayo yalipatikana UKIACHANA na Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro na hata madini ya Tanzanite, je, wajua kuwa Tanzania ina utajiri ambao ungekuwa kivutio kingine kwa watalaa nchini. Kivutio hicho kama kingekuwa hapa nchini ni mabaki ya wanyama aina ya mijusi wakubwa wa walioishi… ...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe. Vicky Kamata aibuka na wimbo mpya wa "Moyo wa mtu kichaka" baada ya mikasa yake ya kuugua ghafla kabla ya ndoa yake

Mh. Vicky Kamata aliwasili Bungeni Dodoma na kama ilivyo ada alipokewa vizuri na kila mbunge aliyekutana nae.  Wabunge wengi walimpa pole baada ya kuugua siku chache kabla ya ndoa yake na kumtakia kila la kheri, huku wengi wakiamini kilichotokea ni mpango wa Mungu na kua Ndoa yake ipo na itakuwepo siku yoyote Mungu akiamua kulitimiza kusudi lake juu ya Mh. Vicky Kamata..   Wakati wabunge wengi wakimuhurumia na kudhani kua kutofungwa kwa ndoa yake kungemgharimu siku nyingi kurudi katika hali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kwa nini mtu achorwe Tatoo machoni?

Hii ndio kasumba ambayo imewavutia vijana wengi ulaya ingawa madaktari wanaonya kuweka wino ndani ya macho kunaweza kumfanya mtu kuwa kipofu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani