Huyu ndiye staa wa Nigeria ambaye akitaka kumuoa mwanamke mweupe ataomba picha yake ya utoto, kisa?
Katika maisha kila mtu ana malengo na mipango yake, hata tukija katika ishu za kutafuta mchumba au kuoa kila mtu ana vigezo vyake, basi mimekutana na kigezo cha mmoja kati ya rapper wakali kutoka Nigeria ambaye jina lake la kuzaliwa ni Jude Abaga ila mtaani anafahamika kama Mr Incredible (MI). MI Abaga ambaye ni CEO wa […]
The post Huyu ndiye staa wa Nigeria ambaye akitaka kumuoa mwanamke mweupe ataomba picha yake ya utoto, kisa? appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo507 Oct
Hizi ndio sifa za mwanamke ambaye AY atataka kumuoa
11 years ago
GPL16 Jul
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Huyu ndio staa ambaye Arsene Wenger anatajwa kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Arsenal …
Baada ya dirisha dogo la usajili kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara kufungwa December 15, barani Ulaya ndio stori za usajili zinazidi kuchukua nafasi. December 31 stori kutoka mtandao wa 101greatgoals.com unaripoti klabu ya Arsenal ya Uingereza imekamilisha mipango ya usajili ya Mohamed Elneny. Dirisha dogo la usajili kwa nchi za Ulaya linafunguliwa January 1 klabu […]
The post Huyu ndio staa ambaye Arsene Wenger anatajwa kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Arsenal … appeared first on...
10 years ago
Bongo523 Oct
Picha: Mrembo huyu wa kizungu ndiye mpenzi wa Adam Nditi!
10 years ago
Bongo506 Nov
Picha: Huyu ndiye mwanajeshi aliyemuua Osama bin Laden
9 years ago
Bongo514 Nov
Mrembo huyu ndiye sababu iliyomfanya Nisher awe kimya? (Picha)
![12237118_1529233004034970_1250876929_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12237118_1529233004034970_1250876929_n-300x194.jpg)
Muongozaji wa video, Nisher amemweka wazi mpenzi wake.
Nisher aliyewahi kushinda tuzo za muongozaji wa video zinazopendwa kwenye Tuzo za Watu, amemweka wazi mrembo huyo kwenye Instagram.
Kwa wengi mrembo huyo anaweza kuwa ndio sababu ya ukimya wake kwenye uongozaji wa video. Hivi karibuni muongozaji huyo mwenye makazi yake jijini Arusha alidai kuwa anafikiria kuoa na pengine mpango huo unaweza kufanyika mapema zaidi.
“Umri wangu unaenda,” Nisher aliiambia Bongo5, September 12 mwaka...
9 years ago
GPL14 Sep
11 years ago
CloudsFM29 May
HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFUNGIWA NDANI YA BOKSI KWA MIAKA MINNE NA MAMA YAKE MLEZI ILI ASIMWAMBUKIZE VIRUSI VYA UKIMWI
Mtoto wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi.
Wakizungumza na...