Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrembo huyu ndiye sababu iliyomfanya Nisher awe kimya? (Picha)

12237118_1529233004034970_1250876929_n

Muongozaji wa video, Nisher amemweka wazi mpenzi wake.

12237118_1529233004034970_1250876929_n

Nisher aliyewahi kushinda tuzo za muongozaji wa video zinazopendwa kwenye Tuzo za Watu, amemweka wazi mrembo huyo kwenye Instagram.

12063030_1530223823934828_471941929_n

Kwa wengi mrembo huyo anaweza kuwa ndio sababu ya ukimya wake kwenye uongozaji wa video. Hivi karibuni muongozaji huyo mwenye makazi yake jijini Arusha alidai kuwa anafikiria kuoa na pengine mpango huo unaweza kufanyika mapema zaidi.

11348237_1503111093350453_1728178375_n

“Umri wangu unaenda,” Nisher aliiambia Bongo5, September 12 mwaka...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Mrembo huyu wa kizungu ndiye mpenzi wa Adam Nditi!

Mchezaji Mtanzania wa aliyekuwa akichezea timu ya vijana ya Chelsea, Adam Nditi amemweka wazi mpenzi wake. Msichana huyo anaitwa Melissa Kerwood. Adam Nditi akiwa na Melissa Kerwood Kupitia ukurasa wa Twitter, Adam amemwandikia mrembo huyo ujumbe huu kumpongeza kwenye siku yake ya kuzaliwa: Happy Birthday to my beautiful girlfriend @Melissa_kerwood Hope your day is as […]

 

9 years ago

Bongo5

Rich Mavoko ataja sababu zilizomfanya awe kimya kwa zaidi ya mwaka mmoja

mavoko new

Rich Mavoko ameachia wimbo mpya Jumanne (Nov.24), ikiwa ni mwaka mzima na miezi miwili toka alipoachia single ya mwisho ‘Pacha Wangu’.

mavoko new

Wakati akitambulisha single mpya iitwayo ‘Naimani’ kupitia XXL ya Clouds Fm, Mavoko amezitaja sababu zilizomfanya asitoe wimbo kwa kipindi kirefu toka mwaka jana.

“Cha kwanza Pacha Wangu ni wimbo nimetoa mwezi wa 9 (2014) lakini pia imekuwepo kwa muda mrefu, sisemi kwamba natakiwa nitoe nyimbo ikae muda mrefu hapana.”

Mavoko aliendelea,

“lakini kusuasua...

 

9 years ago

Bongo5

Q-Chief amezama kwa mrembo huyu? (Picha)

12277431_527519090736493_1118762771_n

Huenda Q Chief akawa amezama kwenye penzi zito na mrembo huyu na anataka kila mtu ajue.

12277431_527519090736493_1118762771_n

Mwimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Mkungu wa Ndizi’ hivi baribuni akiwa na TID, aliposti picha katika mtandao wa Instagram akila denda na msichana huyo.

Hivi karibuni Q Chief alinukuliwa na vyombo vya habari akisema, ameamua kuingia kwenye maisha ya ndoa baada ya kuona mwanamke aliye naye ameweza kumsaidia kumuondoa katika matatizo yaliyokuwa yakimkabili.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi...

 

10 years ago

Bongo5

Kristina Pimenova: Mtoto wa miaka 9 ndiye msichana mrembo zaidi duniani (picha)

Jarida la Women Daily lilimtaja Kristina Pimenova, mtoto mwenye miaka 9 kuwa msichana mrembo zaidi duniani. Kristina, kutoka Urusi alianza masuala ya modelling akiwa na miaka minne na tayari ameshafanya kazi na wabinifu wakubwa wa mavazi wakiwemo Roberto Cavalli na Benetton. Tayari ameshaokava pia jarida la Vogue Bambini. Tazama picha zake zaidi.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Huyu ndiye mwanajeshi aliyemuua Osama bin Laden

Mwanajeshi aliyemuua Osama bin Laden ametambulika kwa mara ya kwanza jana. Anaitwa Rob O’Neill, 38, aliyewahi kufanya mission za kijeshi zaidi ya 400. Baba yake, Tom O’Neill anasema: “Watu wanauliza kama tunaogopa kwamba ISIS watakuja na kututeka kwasababu Rob anafahamika sasa. Nasema nitachora target kubwa kwenye mlango wangu wa mbele na kusema ‘njooni mtuteke’. O’Neill […]

 

9 years ago

MillardAyo

Huyu ndiye staa wa Nigeria ambaye akitaka kumuoa mwanamke mweupe ataomba picha yake ya utoto, kisa?

Katika maisha kila mtu ana malengo na mipango yake, hata tukija katika ishu za kutafuta mchumba au kuoa kila mtu ana vigezo vyake, basi mimekutana na kigezo cha mmoja kati ya rapper wakali kutoka Nigeria ambaye jina lake la kuzaliwa ni Jude Abaga ila mtaani anafahamika kama Mr Incredible (MI). MI Abaga ambaye ni CEO wa […]

The post Huyu ndiye staa wa Nigeria ambaye akitaka kumuoa mwanamke mweupe ataomba picha yake ya utoto, kisa? appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer aitaja sababu iliyomfanya aanze ‘mapenzi’ mapema!

Enzi za mababu zetu vijana walianza mapenzi wakiwa na umri mkubwa na pengine baada ya kuoa au kuolewa kwanza. Maisha yamebadilika, vijana siku hizi wanajua mambo ya wakubwa wakiwa wadogo. Young Killer ni mmoja wa watu waliojanjaruka mapema. “Ni kwasababu mimi nilikua tayari nipo active. Mimi nimeanza kujua vitu vingi mapema. Na hivyo vitu nilikuwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Audio: Hutaamini ukiisikia sababu iliyomfanya Dogo Janja aache shule!

Rapper kutoka Arusha, Dogo Janja ameamua kuacha shule ili kusomea masomo ya muziki. Akiongea na 255 ya kipindi cha XXL cha Clouds FM, Janjaro amedai kuwa usumbufualiokuwa akiupata shuleni ndio sababu kubwa iliyomfanya aache shule. “Shule ambayo mimi nimesoma nilikuwa napata matatizo kwasababu kitu kidogo ambacho mnaweza mkafanya wote lakini wewe ukaonekana chanzo. ‘Msanii mhuni, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani