Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Young Killer aitaja sababu iliyomfanya aanze ‘mapenzi’ mapema!

Enzi za mababu zetu vijana walianza mapenzi wakiwa na umri mkubwa na pengine baada ya kuoa au kuolewa kwanza. Maisha yamebadilika, vijana siku hizi wanajua mambo ya wakubwa wakiwa wadogo. Young Killer ni mmoja wa watu waliojanjaruka mapema. “Ni kwasababu mimi nilikua tayari nipo active. Mimi nimeanza kujua vitu vingi mapema. Na hivyo vitu nilikuwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Young Killer atoa sababu za ngoma yake na Maua Sama ‘Do For Me’ kubuma

Young Killer Msodoki amekiri kuwa single yake ‘Do For Me’ aliyomshirikisha Maua Sama imebuma. Kama ilivyo kawaida kwa wasanii wengi kama sio wote ambao huwa hawakosi sababu pale nyimbo zao zinaposhindwa kufanya vizuri, Msodoki pia ametoa sababu za wimbo huo kukosa baraka za mashabiki. Akizungumza na Planet Bongo ya EA Radio, Msodoki amesema sababu kubwa […]

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa

Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]

 

9 years ago

Bongo5

Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee

mtu chee2Kulikuwa na utata kuhusu member mpya wa kundi la Mtu Chee ambalo hapo mwanzo liliundwa na rappers watatu, Stamina, Young D na Country Boy. Baada ya taarifa za Young Dee kuondoka kwenye kundi hilo, kulikuwa na taarifa kuwa Young Killer ambaye ameshiriki kwenye wimbo mpya wa kundi hilo, ‘Mtu Tatu’, kuwa ndio member mpya wa […]

 

9 years ago

Bongo5

Baby J aitaja sababu inayowakwamisha wasanii wa kike kutoboa

Baby J

Staa wa muziki, Baby J amezitaja sababu zinazowakwamisha wasanii wengi wa kike kushindwa kufikia malengo yao.

Baby J

Muimbaji huo aliye chini ya uongozi wa Mkubwa na Wanawe wa Said Fella, ameiambia Bongo5 kuwa moja ya sababu kubwa inayowafelisha wasanii wengi wa kike ni mfumo wa muziki wa zamani ambao ulitawaliwa na wanaume wengi.

“Kuna kitu ambacho mimi sasa hivi sitaki kukiangalia, nilikuwa nakiangalia zamani kwenye muziki. Watu wanaowasaidia wasanii ni wanaume pekee, hakuna meneja mwanamke...

 

9 years ago

Bongo5

Cassim aitaja sababu ya kuchelewa kutoa video ya Subira

Cassim Mganga ameamua kuifungia ndani video ya wimbo wake wa Subira aliyomshirikisha Christian Bella mpaka uchaguzi utakapopita. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa ameona akiitoa video hiyo kwa wakati huu haitatendewa haki na mashabiki kutokana na kuwa busy na masuala ya uchaguzi. “Video ya Subira ipo tayari, tumeshafanya na Adam Juma lakini tumeshindwa kuitoa kwa sasa […]

 

10 years ago

Bongo5

Audio: Hutaamini ukiisikia sababu iliyomfanya Dogo Janja aache shule!

Rapper kutoka Arusha, Dogo Janja ameamua kuacha shule ili kusomea masomo ya muziki. Akiongea na 255 ya kipindi cha XXL cha Clouds FM, Janjaro amedai kuwa usumbufualiokuwa akiupata shuleni ndio sababu kubwa iliyomfanya aache shule. “Shule ambayo mimi nimesoma nilikuwa napata matatizo kwasababu kitu kidogo ambacho mnaweza mkafanya wote lakini wewe ukaonekana chanzo. ‘Msanii mhuni, […]

 

9 years ago

Bongo5

Mrembo huyu ndiye sababu iliyomfanya Nisher awe kimya? (Picha)

12237118_1529233004034970_1250876929_n

Muongozaji wa video, Nisher amemweka wazi mpenzi wake.

12237118_1529233004034970_1250876929_n

Nisher aliyewahi kushinda tuzo za muongozaji wa video zinazopendwa kwenye Tuzo za Watu, amemweka wazi mrembo huyo kwenye Instagram.

12063030_1530223823934828_471941929_n

Kwa wengi mrembo huyo anaweza kuwa ndio sababu ya ukimya wake kwenye uongozaji wa video. Hivi karibuni muongozaji huyo mwenye makazi yake jijini Arusha alidai kuwa anafikiria kuoa na pengine mpango huo unaweza kufanyika mapema zaidi.

11348237_1503111093350453_1728178375_n

“Umri wangu unaenda,” Nisher aliiambia Bongo5, September 12 mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani