Baby J aitaja sababu inayowakwamisha wasanii wa kike kutoboa
Staa wa muziki, Baby J amezitaja sababu zinazowakwamisha wasanii wengi wa kike kushindwa kufikia malengo yao.
Muimbaji huo aliye chini ya uongozi wa Mkubwa na Wanawe wa Said Fella, ameiambia Bongo5 kuwa moja ya sababu kubwa inayowafelisha wasanii wengi wa kike ni mfumo wa muziki wa zamani ambao ulitawaliwa na wanaume wengi.
“Kuna kitu ambacho mimi sasa hivi sitaki kukiangalia, nilikuwa nakiangalia zamani kwenye muziki. Watu wanaowasaidia wasanii ni wanaume pekee, hakuna meneja mwanamke...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies24 Dec
Vanessa Mdee Afunguka Sababu ya Kung’ara Kimataifa Kuliko Wasanii Wengine wa Kike wa Kibongo
Staa wa Bongo Fleva,Vanessa Mdee ‘V Money’ amefunguka sababu za kung’ara kwa mziki wake na kubahatika kupata tuzo kadhaa za Kimataifa kuliko wasanii wengine wa kike wa Kibongo.
“Ujue kuna tuzo zingine zinatofautiana kuna zingine wapo wasanii wa Kitanzania ambao tuzo fulani wametajwa, na zingine hawakubahatika kuwepo,ukweli ni kuwa wale wanaoandaa tuzo pia wanaangalia ni msanii gani anafahamika zaidi kutoka nchi fulani yaani msanii anakuwa anajiuza mwenyewe zaidi Kimataifa,’’Alisema Vanessa...
10 years ago
Bongo523 Oct
Cassim aitaja sababu ya kuchelewa kutoa video ya Subira
10 years ago
Bongo530 Sep
Afande Sele aitaja sababu inayoipoteza hip hop ya Tanzania
10 years ago
Bongo508 Oct
Young Killer aitaja sababu iliyomfanya aanze ‘mapenzi’ mapema!
10 years ago
GPL
SABABU 10 ZA MASTAA WA KIKE KUTODUMU KWENYE NDOA!
11 years ago
Mwananchi30 Aug
Linah: Wasanii wa kike Bongo hatupendani
10 years ago
Mtanzania20 Aug
Jokate: Wasanii wa kike niungeni mkono
NA VICTORIA PATRICK (TSJ)
MWANAMITINDO, Joketi Mwegelo ‘Kidoti’, amewataka wasanii wenzake hasa wa kike wamtie nguvu kwa kununua bidhaa zake badala ya maneno matupu.
Mrembo huyo ambaye ni Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006, alifafanua kwamba wasanii wengi wa kike wamekuwa wakisifia bidhaa zake kwa maneno lakini hawamuungi mkono kwa kuzinunua.
Jokate ambaye pia ni mwanamuziki na mwigizaji, alisema wasanii hao wakitumia bidhaa zake zitamuongezea kipato na kumtangaza yeye pamoja na taifa kwa...
10 years ago
GPL
VANESSA AWATOA KIMASOMASO WASANII WA KIKE
11 years ago
GPL
WASANII BONGO HAWAJUI MAANA YA BIFU- BABY