Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SABABU 10 ZA MASTAA WA KIKE KUTODUMU KWENYE NDOA!

Na Hamida Hassan
Mastaa wengi wamekuwa hawadumu kwenye ndoa zao na wengine kwenye uhusiano wao wa kimapenzi. Ukijaribu kumuuliza kijana yeyote mwenye nia ya kuoa atakuambia bora aoe mwanamke wa kawaida kuliko staa. Mkali katika tasnia ya filamu Bongo, Yobnesh Yusuph 'Batuli'. Si suala la kuoa tu, hata kwenye mapenzi ya kawaida ni wachache wanaoanzisha uhusiano na mastaa wakiwa na ndoto za kudumu kwa muda mrefu. Ukiona kijana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mastaa wa Kike: Watoto Kwanza, Ndoa Siyo Ishu

WAKATI mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao wamefunguka kuwa wanahitaji zaidi kupata uzao kuliko kuishi maisha ya kuolewa.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, walisema suala la ndoa ni majaaliwa na si jambo unaloweza kupanga, kwa vile mwenye uwezo wa kufanya hayo yote ni Mungu, kama ilivyo katika kuamua kuzaa au la.

Coletha Raymond ‘Koletha’, alisema katika maisha ya Kitanzania,...

 

10 years ago

GPL

MZEE MAJUTO: MASTAA WA KIKE WANATAKA KUNIVUNJIA NDOA YANGU!

Ndoa tamu! Mkongwe wa sinema za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’  amesema kuwa, wasanii wa kike wamekuwa wakimpa usumbufu kiasi cha kuifanya ndoa yake itetereke kutokana na kuvutiwa naye kimapenzi. Mkongwe wa sinema za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ akiwa na Sabby. Pasipo kuwataja majina, Mzee Majuto alisema mastaa hao wamekuwa wakimsumbua kiasi cha kusababisha kero kubwa kwa mkewe na...

 

10 years ago

GPL

BOZI AELEZA SABABU ZA KUTODUMU PENZINI

Stori: Mayasa Mariwata
MUUZA sura kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ambaye alikiri kubanjuka na mastaa wasiopungua 15, amesema sababu zinazomsababisha asidumu na mwanaume mmoja kwenye mapenzi ni kutokana na mateso aliyoyapata kwenye ndoa ya utotoni. Muuza sura kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. Akibonga mawili matatu na paparazi wetu,  Bozi alisema tatizo la kutokuwa na...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Meneja na mke wa Mabeste, Lisa apanga kuwakutanisha mastaa wa kike kwenye mchezo wa ‘Rede’

Lisa Mabeste

Kama wewe ni msichana una miaka zaidi ya 25 kwa sasa na enzi za utoto wako hukuwahi kucheza mchezo wa ‘Rede’, utakuwa ulikosa starehe kubwa.

Rede ni mchezo waliokuwa wakicheza wasichana ambapo wawili hukaa huku na kule na mmoja kuwa katikati akijitahidi kuijaza chupa mchanga huku akikwepa mpira anaopondwa na wawili hao.

Meneja na mke wa rapper Mabeste, Lisa Karl Fickenscher amesema anataka kuurudisha mchezo huo kwa kuandaa tamasha litakalohusisha mastaa mbalimbali wa kike na mashabiki...

 

11 years ago

GPL

SLIM:MASTAA WA KIKE WANAJITONGOZESHA

Na Gladness Mallya
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Slim Omar amefunguka kuwa mastaa wengi wa kike Bongo Movies wanajitongozesha wenyewe. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Slim Omar. Akifunguka kwa sharti la kutowataja majina wahusika, alisema anayo listi ndefu ya mifano ya wasanii ambao wanapenda kujitongozesha hivyo ni vyema wakaacha maana siyo tabia nzuri.… ...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WA KIKE WAFUNGUKIA NYETI BANDIA

Stori: Gladness Mallya
MASTAA wa kike wa fani mbalimbali nchini, wamezungumzia matumizi ya nyeti bandia, baadhi wakizipongeza kuwa zinawasaidia kuondokana na ‘stress’ za wanaume huku wengine wakiziponda kuwa hazina ‘ladha’. Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Lulu. Baadhi ya wasanii hao walisema kuwa ingawa wanazifahamu na hata kuwajua wanaotumia wao wanaamini wanaotumia ni wale ambao...

 

10 years ago

GPL

MAJUTO: MASTAA WA KIKE WAMENIGEUZA BABU YAO!

Nguli wa sinema za Komedi Bongo, Amri Athuman ‘Majuto’ akiwa na Kajala Masanja. Stori: Deogratius Mongela
NGULI wa sinema za Komedi Bongo, Amri Athuman ‘Majuto’ amefunguka kuwa, mastaa wengi wa kike wamemgeuza babu yao kwa kumfanyia vituko kila wanapokutana naye. Akitema mbili tatu na paparazi wetu baada ya kusambazwa kwa picha mtandaoni inayomuonesha akifanyiwa vituko  na staa mwenzake, Kajala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani