BOZI AELEZA SABABU ZA KUTODUMU PENZINI
![](http://api.ning.com:80/files/RjUGj58MiaH87hV*y5BfGCDehNQ9MCDD1Q7BdL2aEjCJjb0UArLwTY*3JCEPmvAk2Q-6UDmrRi23fATcYTc0hvHWhRyUsd8I/bozi.jpg)
Stori: Mayasa Mariwata MUUZA sura kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ambaye alikiri kubanjuka na mastaa wasiopungua 15, amesema sababu zinazomsababisha asidumu na mwanaume mmoja kwenye mapenzi ni kutokana na mateso aliyoyapata kwenye ndoa ya utotoni. Muuza sura kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. Akibonga mawili matatu na paparazi wetu, Bozi alisema tatizo la kutokuwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfATsd7LirusavNUQhIp9rauZfsjGBI4MqQ5h1q0w-FokR0TN27oMxIddFzOm1SFKGmyx-PEpcM0XxJ0fXtv4IKE/Mastaa.jpg)
SABABU 10 ZA MASTAA WA KIKE KUTODUMU KWENYE NDOA!
9 years ago
Bongo Movies15 Nov
Bozi Namchukia Jokate kwa Sababu ya Kuwa na Ali Kiba!
KAMA kawaida ya kolamu hii kuwaletea wasanii mbalimbali na kuwabananisha na maswali kedekede ambayo yamekuwa yakiwaumiza vichwa wasomaji wa gazeti hili kwa kushindwa kuelewa undani wake.
Alhamisi ya leo tunaye msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ambaye amefungukia mswali mbalimbali kama ifuatavyo:
Msomaji: Nakukubali sana hauna makuu, ila nilisikia umetembea na mastaa wengi, ni kweli na huwa unatumia kinga?
Bozi: Kama ulivyosikia ndivyo ilivyo, kinga ni muhimu huwa nazingatia sana...
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Dk Nchimbi aeleza sababu za kuwajibika
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lnNHCVxKyALzJWo1**aeQ1EPFSe1shUETOa6PLsspfd4viZYRP*oCYkLbq5WH9tP5jsgfm751-nTwd-PdfK4nESwV5I41yFL/batu.jpg)
BATULI AELEZA SABABU ZA KUTOOLEWA
9 years ago
Mtanzania30 Sep
G Nako aeleza sababu za ‘Weusi’ kutokufa
NA SHARIFA MMASI
RAPA mahiri kutoka kundi la Weusi lenye maskani yake mkoani Arusha, George Mdemu ‘G Nako’, amesema
upendo, umoja, kutodharau na kufanyia kazi ushauri wa mashabiki wao ndiyo misingi inayoliwezesha kundi hilo lisivunjike kama makundi mengine yaliyowahi kuwika kwa muda mfupi kabla ya kusambaratika.
“Sababu hizo tuliziweka kwa pamoja wakati tulipoanzisha kundi letu hilo ambalo kwa sasa ni kampuni.
“Makundi mengi yanasahau kwamba nidhamu ni kitu muhimu katika kila kazi, wengi wao...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rf021BwezXGXWUaWnMd*cPXRaxFDDS7NQeeW3eLRU-54ht-fbct3fg6acQtBbcSe5KURiE9S8exNYeJbbn8QrTS8ipIAkLnr/batuli.jpg)
BATULI AELEZA SABABU ZA UKIMYA WAKE
10 years ago
Habarileo11 Jun
Siro aeleza sababu CUF kuzuiwa maandamano
MKUU wa Operesheni wa Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Siro ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa walikataza maandamano ya CUF kwasababu kulikuwa na taarifa za vitendo vya ugaidi ambavyo vingeweza kuwadhuru.
11 years ago
Mwananchi30 Jun
Msekwa aeleza sababu ya wasomi kukimbilia siasa
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jIKk2mJPDRs/U-kBfc3ZzSI/AAAAAAAF-m0/CbKDD2LsYRA/s72-c/download.jpg)
MBUNGE WA CHADEMA AELEZA SABABU ZA KUREJEA BUNGENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-jIKk2mJPDRs/U-kBfc3ZzSI/AAAAAAAF-m0/CbKDD2LsYRA/s1600/download.jpg)