SLIM:MASTAA WA KIKE WANAJITONGOZESHA
![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*WZNj24es22uUMJXEHKzQXf9IoUuyxg2slZsnC*bPHNE88Mf8Ho8xtp4GfMtzL-oZOkGvsKWqOchvZ1NN6XTp*n/slim.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Slim Omar amefunguka kuwa mastaa wengi wa kike Bongo Movies wanajitongozesha wenyewe. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Slim Omar. Akifunguka kwa sharti la kutowataja majina wahusika, alisema anayo listi ndefu ya mifano ya wasanii ambao wanapenda kujitongozesha hivyo ni vyema wakaacha maana siyo tabia nzuri.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyuZptVegvz6vy8yvQTp4EoFle9qmA64uxoDRvtoLKWTGXUs27EKzxcjyYVZjErYrv4r---aiLN808zX0B4y-RRzsb-U3qYn/MASTAANYETI.jpg)
MASTAA WA KIKE WAFUNGUKIA NYETI BANDIA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfATsd7LirusavNUQhIp9rauZfsjGBI4MqQ5h1q0w-FokR0TN27oMxIddFzOm1SFKGmyx-PEpcM0XxJ0fXtv4IKE/Mastaa.jpg)
SABABU 10 ZA MASTAA WA KIKE KUTODUMU KWENYE NDOA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k3CULkKWsLZm*-C1VN*rtNtDpKmRo58c2Txx*-3czxo0Pjcp-bQ4NHwsQWy5iLeEkPus9Hh4OHNTJfWEo4YYtS8hsRHRmuur/Kajala2......png?width=650)
MAJUTO: MASTAA WA KIKE WAMENIGEUZA BABU YAO!
10 years ago
Bongo Movies14 Jan
Mastaa wa Kike: Watoto Kwanza, Ndoa Siyo Ishu
WAKATI mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao wamefunguka kuwa wanahitaji zaidi kupata uzao kuliko kuishi maisha ya kuolewa.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, walisema suala la ndoa ni majaaliwa na si jambo unaloweza kupanga, kwa vile mwenye uwezo wa kufanya hayo yote ni Mungu, kama ilivyo katika kuamua kuzaa au la.
Coletha Raymond ‘Koletha’, alisema katika maisha ya Kitanzania,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ov90wJC7zCzpWuKmqSa0mujbzGcI6UOXd4nftcG1KPk3Qw9K0WDKUeTl-EbmyQxFCpCyuc6k66PSJcjztW-K2Ys6mWEIAqIb/majuto.jpg)
MZEE MAJUTO: MASTAA WA KIKE WANATAKA KUNIVUNJIA NDOA YANGU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa4U3bVJPRu9bf*D50Hiji7Fkrry8vL5fw8VKcmb398oLggbr6SxM*1VG-uf3vLc8Y5PLGDv*e0UsqpvB6Q-Jt0e/22.jpg?width=650)
ISABELA: MASTAA WA KIKE BONGO WANAISHI KWA KUUZA MIILI YAO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uw8ZJ9XBTbXU50A13dSQdEm2LGNZTJKN96vkB4PaLimqtRR0wlpBNXmZkJCiwakzDcSsbGwbCMqQ2hEYT4Fx-PBGL8adu*W9/barua.jpg)
MASTAA WA KIKE BONGO MOVIES MTAIGIZA MAISHA YENU HADI LINI?