MZEE MAJUTO: MASTAA WA KIKE WANATAKA KUNIVUNJIA NDOA YANGU!

Ndoa tamu! Mkongwe wa sinema za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amesema kuwa, wasanii wa kike wamekuwa wakimpa usumbufu kiasi cha kuifanya ndoa yake itetereke kutokana na kuvutiwa naye kimapenzi. Mkongwe wa sinema za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ akiwa na Sabby. Pasipo kuwataja majina, Mzee Majuto alisema mastaa hao wamekuwa wakimsumbua kiasi cha kusababisha kero kubwa kwa mkewe na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MAJUTO: MASTAA WA KIKE WAMENIGEUZA BABU YAO!
10 years ago
GPL
SABABU 10 ZA MASTAA WA KIKE KUTODUMU KWENYE NDOA!
10 years ago
Bongo Movies14 Jan
Mastaa wa Kike: Watoto Kwanza, Ndoa Siyo Ishu
WAKATI mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao wamefunguka kuwa wanahitaji zaidi kupata uzao kuliko kuishi maisha ya kuolewa.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, walisema suala la ndoa ni majaaliwa na si jambo unaloweza kupanga, kwa vile mwenye uwezo wa kufanya hayo yote ni Mungu, kama ilivyo katika kuamua kuzaa au la.
Coletha Raymond ‘Koletha’, alisema katika maisha ya Kitanzania,...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
JB amkabidhi Mzee Majuto tuzo ya ‘Shikamoo Mzee’
MSANII wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameamua kumkabidhi mkongwe wa tasnia hiyo, Mzee Majuto tuzo ya ZIFF aliyoshinda mwaka huu kupitia filamu yake ya ‘Shikamoo Mzee’ kama heshima...
9 years ago
Bongo Movies26 Nov
JB: King Majuto Atacheza Filamu Yangu
STAA wa filamu Bongo Jacob Stephen maarufu kama JB, amesema licha ya muigizaji mkongwe Amri Athumani ‘King Majuto’ kudai kuiweka kando sanaa ili afanye mambo ya kumpendeza Mungu baada ya kurejea kutoka hija huko Makka, atafanya hivyo baada ya kucheza kazi atakayoiandaa.
Akizungumza na gazeti hili, alisema yeye ni kama mtoto kipenzi wa Mzee Majuto, hivyo hawezi kukataa ombi lake kwa kuwa hata yeye anataka kustaafu kuigiza baada ya kufanya filamu moja na muigizaji huyo aliyejipatia umaarufu...
10 years ago
GPL
MZEE MAJUTO ATAPELIWA
10 years ago
GPL
MZEE MAJUTO ASIMULIA ALIVYONUSURIKA
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Mzee Majuto afikiria kukacha uigizaji
MCHEKESHAJI mkongwe katika tasnia ya filamu nchini, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’, amesema mazingira ya soko la filamu kwa sasa yanamkatisha tamaa na hivyo kumfanya kila wakati afikirie kustaafu na kuhamia...
10 years ago
Michuzi
Mzee Majuto Sasa anapatikana Mtandaoni
