MZEE MAJUTO ATAPELIWA

Chande Abdallah na Deogratius Mongela CHANGA! Mkongwe kwenye sanaa ya vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutapeliwa shilingi milioni mbili alizopaswa kulipwa kwenye shoo ya Instagram iliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Posta, jijini Dar. Mkongwe kwenye sanaa ya vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’. Kwa mujibu wa chanzo chetu, wiki moja...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 May
JB amkabidhi Mzee Majuto tuzo ya ‘Shikamoo Mzee’
MSANII wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameamua kumkabidhi mkongwe wa tasnia hiyo, Mzee Majuto tuzo ya ZIFF aliyoshinda mwaka huu kupitia filamu yake ya ‘Shikamoo Mzee’ kama heshima...
10 years ago
GPL
MZEE MAJUTO ASIMULIA ALIVYONUSURIKA
10 years ago
Michuzi
Mzee Majuto Sasa anapatikana Mtandaoni

11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Mzee Majuto afikiria kukacha uigizaji
MCHEKESHAJI mkongwe katika tasnia ya filamu nchini, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’, amesema mazingira ya soko la filamu kwa sasa yanamkatisha tamaa na hivyo kumfanya kila wakati afikirie kustaafu na kuhamia...
11 years ago
GPL
SAFARI YA UTURUKI YATAKA KUMUUA MZEE MAJUTO
10 years ago
GPL
MZEE MAJUTO AFUNGUKA KUOA MJUKUU WAKE!
10 years ago
Bongo Movies19 Dec
KAZI MPYA: Kutoka Kwa Wolper na Mzee Majuto
Tukiwa unaelekea ukingoni mwa mwaka 2014 , Waigizaji Jackline Masawe “Wolper”na King Majuto wameonekana wakiwa mzigoni kutengeneza kitu kipya. Mwanadada Wolper aliidondosha picha hii na kuandika “New Movie with majuto dady”
Ingawa bado jina la movie halijawekwa hadharani, pamoja na lini movie hiyo itatoka, mashabiki wengi mitandaoni wameonyesha kutegemea kazi nzuri kutoka kwa hawa watu kwani ni waigizaji wenye uwezo na uzoefu mkusana.
Je wewe wategemea movie ya namna gani kutoka kwa...
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
Ugomvi:Mzee Majuto Akataa Kupanda Mabasi ya Airport-JB
UTANI KIDOGO: Wakiwa uwanja cha ndege, safarini kuelekea mkoani, JB aliweka picha hii ya Mzee Majuto na kuandika maneno haya;
“Amekataa kupanda mabasi ya airport anataka aende na hii.tena aendeshe kama alivyofanya uturuki.ni ugomvi hapa airport...”
Hehehe Kheri ya mwaka mpya ndugu zangu.
Mzee wa Ubuyu
11 years ago
GPL
MZEE MAJUTO AWAALIKA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WAKE