MZEE MAJUTO AFUNGUKA KUOA MJUKUU WAKE!
![](http://api.ning.com:80/files/vnQhPUwEod3bC2fn6k9qxwQAHFQoglpGx6jhqqJIYas6WE82hBIqGkTK9jZDbPkkiff9TmIKuagshvXEctuz8QS22zIz0-VU/44.jpg?width=650)
Mayasa Mariwata Vunja ukimya! Komediani namba moja Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amegeuka mbogo baada kuulizwa juu ya madai ya kuoa binti mdogo ambaye ni sawa na mjukuu wake mwenye umri wa miaka 18 akidai kuwa sheria ya dini inamruhusu kufunga ndoa wa wake wanne. Akizungumza na Ijumaa Wikienda ambalo ndilo lililokuwa la kwanza kuripoti ishu hiyo, Mzee Majuto ambaye awali alionesha kuwa na jazba alifunguka: ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ok30SVir64nC3uxpWYEoDqthr61OwZnQq4-c*VZOTtqodoM4wIXjVDSAfGgOX8mhIfEnnVB6OculbFQlblbxsmn84m1rf-aE/2.jpg?width=650)
MZEE MAJUTO ADAIWA KUZAMA KWENYE PENZI LA MJUKUU WAKE
10 years ago
MichuziMh. Lowassa amfariji mzee Ndejembi,kwa kufiwa na mjukuu wake
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVk-4qKlhukM3EID-px8QmVUSbSAJzUyR5EbZbL8QtiTQR5bHujwYzOBRZ4nmYZuFDRRtOXrBd6DLWkrtk0oYJHU/mzee.jpg)
MZEE MAJUTO AWAALIKA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WAKE
10 years ago
CloudsFM18 Feb
Mzee Yusuph kuoa tena mke wa watatu,Wake zake watupiana vijembe mtandaoni
Mwimbaji mahiri wa muziki wa Taarab nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu,Mzee Yusuph anatarajia kuoa tena mke wa tatu hivi karibuni huku wake zake wawili wakiwa kwenye bifu zito wakitupiana vijembe mtandaoni.
Akipiga stori na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa anatarajia kuoa mke huyo ambaye anaishi huko visiwani Pemba,na kwamba mipango ikiwa tayari kila kitu kitakuwa hadharani.
Hivi karibuni wake zake wawili ambao ni Malkia Leila Rashid ambaye pia ni mwimbaji...
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Watanzania, majuto ni mjukuu!
UKIWAANGALIA Watanzania wa leo utaona kwenye fikra zao, nyuso zao na hisia zao utaona wazi kabisa kuwa iko kiu ya mabadiliko. Watu wanataka mabadiliko wamechoka na mazoea waliokuwa nayo na ambayo yanaendelea kuwafanya wawe dhalili.
Kila mtu anatamani mambo yaache kuwa na hali ilivyo sasa, anatamani yachukue mkondo mpya na njia mbadala ambayo inaweza kuwa na matumaini. Katika hali hii unatarajia kuwa wao ndiyo wawe chemichemi na chachu ya mbadiliko.
Bahati mbaya kwetu ni kwamba,...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
JB amkabidhi Mzee Majuto tuzo ya ‘Shikamoo Mzee’
MSANII wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameamua kumkabidhi mkongwe wa tasnia hiyo, Mzee Majuto tuzo ya ZIFF aliyoshinda mwaka huu kupitia filamu yake ya ‘Shikamoo Mzee’ kama heshima...
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Mjukuu wa hayati mzee Mandela ahukumiwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DS3fBDgklorUmdbBzaky6CWN1Ev2K*TXVyWwO49gFEYRkkDToG4aX1p*hbLjHbUH4SaKxJY1ThtR0vpHfKghJjPoN7hdAl6J/mzee.jpg?width=650)
MZEE MAJUTO ATAPELIWA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/x93ABI42iFW29as1MN1fUZDtVmEA-aJDHbIPosQqBoANWKwI9oqq10QIvbteGTA*t3w5sXnGv-rJNVjGBsKXeARWQCn3GC*3/makka.jpg?width=650)
MZEE MAJUTO ASIMULIA ALIVYONUSURIKA