MZEE MAJUTO ADAIWA KUZAMA KWENYE PENZI LA MJUKUU WAKE
![](http://api.ning.com:80/files/Ok30SVir64nC3uxpWYEoDqthr61OwZnQq4-c*VZOTtqodoM4wIXjVDSAfGgOX8mhIfEnnVB6OculbFQlblbxsmn84m1rf-aE/2.jpg?width=650)
MUSA MATEJA IMEKAAJE? Komediani kipenzi cha wengi Bongo, Majuto Athuman ‘Mzee Majuto’, anadaiwa kuzama kwa mara nyingine kwenye penzi la msichana mbichi anayekadiriwa kuwa na umri sawa na mjuu wake. Komediani kipenzi cha wengi Bongo, Majuto Athuman ‘Mzee Majuto’. TUJIUNGE NA MKE WA MZEE MAJUTO Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, mke wa Mzee Majuto aitwaye Aisha Yusuf alikiri kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vnQhPUwEod3bC2fn6k9qxwQAHFQoglpGx6jhqqJIYas6WE82hBIqGkTK9jZDbPkkiff9TmIKuagshvXEctuz8QS22zIz0-VU/44.jpg?width=650)
MZEE MAJUTO AFUNGUKA KUOA MJUKUU WAKE!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVk-4qKlhukM3EID-px8QmVUSbSAJzUyR5EbZbL8QtiTQR5bHujwYzOBRZ4nmYZuFDRRtOXrBd6DLWkrtk0oYJHU/mzee.jpg)
MZEE MAJUTO AWAALIKA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WAKE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhkxhWCcCxbeyasVn62kOH*DzGJVtahfBUwIGItBvLcrA*IMkvVj5BBapvXRwiflSPa7Pge1rO0mZfFGU1L9kS1W/madaha1.jpg?width=650)
BABU MIAKA 80 ADAIWA KUMBAKA MJUKUU WAKE
10 years ago
MichuziMh. Lowassa amfariji mzee Ndejembi,kwa kufiwa na mjukuu wake
10 years ago
Bongo Movies28 Feb
Picha: JB ,Richie na Mzee Majuto Wakiwa Kwenye Tamasha la Amani-Mwanza
Hizi ni baahi ya picha za wasanii, Jacob Stepeh ‘JB’, Single Mtambalike ‘Richie’ , Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ na Mzee Matuto wakiwa kawenye tamasha la Amani jiji Mwanza leo hii, ambapo mbali na kuombea amani kwenye nchi yetu, tamsha hili linabeba ujumbe mzito kukemea mauaji na watu walemavu wa ngozi (Albino).
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Watanzania, majuto ni mjukuu!
UKIWAANGALIA Watanzania wa leo utaona kwenye fikra zao, nyuso zao na hisia zao utaona wazi kabisa kuwa iko kiu ya mabadiliko. Watu wanataka mabadiliko wamechoka na mazoea waliokuwa nayo na ambayo yanaendelea kuwafanya wawe dhalili.
Kila mtu anatamani mambo yaache kuwa na hali ilivyo sasa, anatamani yachukue mkondo mpya na njia mbadala ambayo inaweza kuwa na matumaini. Katika hali hii unatarajia kuwa wao ndiyo wawe chemichemi na chachu ya mbadiliko.
Bahati mbaya kwetu ni kwamba,...
9 years ago
Dewji Blog14 Nov
SPORT NEWS: Rais Magufuli kuikosa Stars na Algeria, ahudhuria kwenye mazishi ya mjukuu wake!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa Mjukuu wa Mhe Rais John Magufuli, marehemu Maryfaustna Mlyambina, wakati wa shughuli za kuaga zilizofanyika Kimara jijini Dar es Dalaam jana.
Na Rabi Hume
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Dkt. John Magufuli ambaye angekuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Algeria ameshindwa kuhudhuria mchezo huo kutokana na msiba alioupata wa mjukuu wake.
Mchezo...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
JB amkabidhi Mzee Majuto tuzo ya ‘Shikamoo Mzee’
MSANII wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameamua kumkabidhi mkongwe wa tasnia hiyo, Mzee Majuto tuzo ya ZIFF aliyoshinda mwaka huu kupitia filamu yake ya ‘Shikamoo Mzee’ kama heshima...
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Mjukuu wa hayati mzee Mandela ahukumiwa